...........
Point yangu ni kwamba, hata kama wazo ni zuri bado limeanzishwa na mwizi aliyekula fedha za mradi wa hospital na kuwaacha mamilioni ya waTZ wakitaabika. Ni kipi kitakachomzuia kuiba fedha za misaada ya miradi kama alivyofanya awali??????????????
Daudi mchambuzi
Atleast hii ni hoja lakini issue ya wabunge kuwa jimboni/wilayani ukiondoa wa mijini wachache sana wanatumia siku japo siku 60 kwa mwaka kwenye majimbo yao.
Sasa katika haowengi wanatumia muda mrefu mjini kuna wachache pia wanatafuta namna ya kupata na kuwasliiana na wapiga kura wao.
Sasa watu wanamlaumu January kwa anatakiwa kuwa bumbuli.Hizo ofisi za Maendeleo Hai ni mbowe anazitumia kila siku?
Wabunge wengi wanategemea communication za kikazi kupitia number zao private.Sio tatizo kubwa lakini lina vikwazo. Mtu anaweza kutumia short code .Hayo ni mawasilaino endelevu na recod zipo nadhani hata gharama ni nafuu kwa mpiga kura.
Kwa hiyo January na Team yake hata kama hawako jimboni/wilayni wana njia nzuri ya "kukutana" na "kuwasiiana" (Virtually) na wapiga kura .Hilo mimi nampa credit. Labda tuelezwe kuna wabunge hata wasipokuwa mjimboni wana njia bora ya kuwasiia na wapiga kura
Yes Kia kitu sisi wanachi tunpima kutokana na
OUPUT lakini walau unaona kuwa Kwa
INPUT fulani
PROCESS ikifanyika vizuri Ouput inayotegemewa itapatikana.
Lakini kwa wabunge wengi wana Fail mwanzo kabisa hata kwenye INPUT ya kurahisiha
MAWASILIANO( Iwe ni uso kwa uso au vinginevyo) kati yao na wapiga kura. Wabunge hawa wengi wana IPAD na Galaxy lakini matumizi yao ni Kama Nokia ya Tochi. Wabunge wengi wanaweza wasiwe wezi lakni Kutokuwa mwizi tu haitoshi. Tanzania tulipoTunahitaji viongozi
WABUNIFU wenye
IDEAS mpya
Mh Samuel Sita ana ofisi ya mbunge ya gharama kubwa jimboni lakini
- anaitumia mara ngapi?
- imemuwezesha kukutana na wapiga kura wangapi?
- Anarekodi au kumbukumbu ya issue anazopelekewa au anategemea kichwa?
Huo mfano wa sitta una wagusa wabunge wengi wa magamba na magwanda. January alichofanya hasa cha kutumia
shrtcde ni kuonyesha walu sio mtu anayeamini kufanya kazi kwa mazoea tu.