Bumbuli ipo dar es salaam? angetakiwa hiyo ofisi iwe jimboni Bumbuli naajiri na vijana wa hapo Bumbuli kwenye hiyo ofisi. Awe makini tumemuazima Hilo jimbo mpaka 2015 tuu CDM tunalichukua
Jamani kwenye mazuri tuwe tuna appreciate jamaa ana ofisi ya mbunge bumbuli pia.