Ya Mwigulu Nchemba si ndwele. Huu ndo ushauri wangu kwa Mh. January Makamba (Mb)…

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mh Mwigulu hatunae tena kwenye ulingo wa siasa. Ni kama strategies zake za 2020 zimemponza . Amewahiwa na kukatwa mkia fasta.

Sasa tugange yajayo. Kwako Ndg. January Makamba.Waziri na mbunge wa Bumbuli kupitia CCM…

Jitahidi sana sana kuzama zaidi jimboni kwako kwa wananchi wako. Kuwa karibu sana na vijana na walalahoi wako wa Jimbo la Bumbuli . Hao tu ndo pona yako. Usawa huu hauangalii nani ametoka wapi na kwa nani. Usawa huu si wa kuzoeana ovyo.

Punguza sana kasi unayokwenda nayo kwa ajili ya 2020. Be very strategic. Safu unayoipanga kupitia taasisi fulani tafadhari kuwa mwangalifu sana. Vijana wako macho hawalali na nyie. Mnakokwenda wao wameamkia huko na unakotoa mguu wao wanatia maguu.

Be calm January Makamba. Acha papara. Fanya kazi ya uwaziri na ubunge uliyotumwa. Mengine waachie wenyewe.Acha tamaa kabisa. Watakula kichwa !

Aisiyesikia la mkuu huvunjika guu.

Nimemaliza.
 
2025 itamhusu
 
Hivi ni kweli kuwa Mwigulu kasimamishwa njiani na kutakiwa kukabidhi gari la serikali? Nimeuliza hivi baada ya kuona kuna picha inazunguka mtandaoni ambapo mh mwigulu kasimamishwa na askari police wawili.
 
Hata Mimi nimeona picha sijui wadau kuna ukweli
 
Kuna vitu ni ngumu sana kuamini iwapo mwaka 2015 mwezi juni mtu ange kuambia kuwa lowasa atakuwa chadema na Dk slaa na lipumba watakimbia ukawa hakika hakuna ambaye ange amini kama ilivyo wakati JPM ana tangaza Baraza la mawaziri iwapo ungeambiwa kuwa kitwanga,nape na mwiguru watakuwa mawaziri wa mwanzo kutumbuliwa.hizo ndio siasa
 
Tanga kuchele..
UCHAWI.jpg
 
Mh Mwigulu hatunae tena kwenye ulingo wa siasa. Ni kama strategies zake za 2020 zimemponza . Amewahiwa na kukatwa mkia fasta.

Sasa tugange yajayo. Kwako Ndg. January Makamba.Waziri na mbunge wa Bumbuli kupitia CCM…

Jitahidi sana sana kuzama zaidi jimboni kwako kwa wananchi wako. Kuwa karibu sana na vijana na walalahoi wako wa Jimbo la Bumbuli . Hao tu ndo pona yako. Usawa huu hauangalii nani ametoka wapi na kwa nani. Usawa huu si wa kuzoeana ovyo.

Punguza sana kasi unayokwenda nayo kwa ajili ya 2020. Be very strategic. Safu unayoipanga kupitia taasisi fulani tafadhari kuwa mwangalifu sana. Vijana wako macho hawalali na nyie. Mnakokwenda wao wameamkia huko na unakotoa mguu wao wanatia maguu.

Be calm January Makamba. Acha papara. Fanya kazi ya uwaziri na ubunge uliyotumwa. Mengine waachie wenyewe.Acha tamaa kabisa. Watakula kichwa !

Aisiyesikia la mkuu huvunjika guu.

Nimemaliza.
Aisee ni kweli
Jamaa anajisahau kipindi kirefu
Barabara ya Mbelei kwenda Mgwashi ni aibu kuitwa iko chini ya halmashauri ya Bumbuli
 
Malipo ya jeuri,ufedhuli na kiburi,Kwa nafasi zao hawa watu walidhani watakuwa ktk uwanja wa siasa milele, Magufuli anawaangusha mmoja baada ya mwingine, Anatangeneza watu wake ktk system, Kama huyu kijana wa bumbuli atafute ishu nyingine ya kufanya, Urais asahau kabisa
 
Hawa vijana ndani ya ccm waliokuwa na walio mawaziri salama yao ndani ya chama ni kuonyesha kutokubaliana na jiwe pale anapofanya lililo kinyume.
Nape, Mwigulu, Makamba nk. waache kutii kwa unafiki maana kijana mwenzao Bashite kamshika baba yenu na nyie mumemzidi elimu, hawapendi kwa hilo na msipo angalia mtapukutika kwa vile MNA unafiki hamuitaki kweli bali fadhila ili muishi.
 
Back
Top Bottom