Mh! hebu nijuzeni wenye uzoefu......Nimeulizwa swali.

jirani my fooot!
mzee mzima umekamatwa!ahahahahhaahhahahhah pole sana mzee mwenzangu hizi nenge za uzeeni hizi mbayyyaaaaaaaaaaaaaaaaah!kha ukijumlisha na mkwara uliopigwa kwa kisirani cha tumbo lazima uulize lini inakuwa poa
halafu kwa taarifa yako kwa kawaida ni siku 21 tu!yani 21 tu kitu mwake!kazi kama kadawia! ila kwa operation sina hakika manake mi wangu nimepush mwenyewe wote!ngoja wataalam wakujuze!
eti nimeulizwa na jirani yangu!ahahahahahahha

Hii mitoto iliyozaliwa awamu ya Mkapa ina NONGWA ka nini..... Lione bichwa lake utadhani mpira wa makaratasi.....
I hate yuuuuuu....Mxyuuu:closed_2:
 
....yaani anataka adabolishe?
Mtambuzi hebu muache mama Ngina ajiache kwa raha zake.
Cha kumrukia mabreka wakati hata nyuzi hajatoa inahuu..!!!
Muache babu we Mtoto wa kike ajilie mchemsho wa kuku wa uzazi.
Nipishe mie nipite!!
snowhite mwambie atulie,tena apige kimya mpaka mshono upone.
Madame B naomba Poo (Ile inayoombwa kwenye mchezo wa REDE) maana sasa mashambulizi yamezidi mweh!
 
Last edited by a moderator:
Hii mitoto iliyozaliwa awamu ya Mkapa ina NONGWA ka nini..... Lione bichwa lake utadhani mpira wa makaratasi.....
I hate yuuuuuu....Mxyuuu:closed_2:
Mtambuzi mi hata usemeje wala huntishi!we mambo gani ya kuanza kutaka kumfumua mshono mwenzio?
hakuna na cha poo wala nini hapa tunakukomalia mwanzo mwisho mpka kipotee!ahahahhaahhh babuuuuuuuuuu!utajibeba leo!mi nililijua hili nikatoa ANGALIZO mapema kabisa!MTOTO AKUE HUYO JAMANI!umeona sasa?
 
Last edited by a moderator:
Sasa unaimba au..............

anafanya mrudio rudio ili kutengeneza mwangwi!jirni jirani jirani!usikute mama ngina kaenda kukustakia huko af jirani kaja kuomba ushauri naye akijifanya kuna mtu kamuuliza ahahhahahhahhha umepatikana nakwambia!
 
Duh.... haya mashambulizi mzee mzima Mtambuzi inabidi siku nyingine ukiombwa ushauri na jirani yako upime upepo kabla hujakuja hapa kuomba maushauri, sasa unaona wadau walivyoweka kambi nyumbani kwako? hahahaha kazi unayo

Kaka hawa mabinti sijui nimewakosea nini, mwenyew enimewauliza wakubwa wao wamevamia wakati mie namsaidia tu jirani yangu...
Si unaona jinsi wanavyonikosea adabu..............
 
Mie wiki tatu, nikakalia kitu chenye ncha kali!! Chezeiya ukame weye???? Tena c-section ya mapacha!!! Mapemaaaaaaaaaa nikajisevia, nilikalia ili nijipimie, nikiona naumia, napunguza kipimo cha ujazo, ebo! Kula mzigo babu kama wiki 3 zimepita, ila ule polepole, kama watu wazima walavyo, sio tena papara kama kina mwafulani!!!! Ol the best babu!
 
Mtambuzi mi hata usemeje wala huntishi!we mambo gani ya kuanza kutaka kumfumua mshono mwenzio?
hakuna na cha poo wala nini hapa tunakukomalia mwanzo mwisho mpka kipotee!ahahahhaahhh babuuuuuuuuuu!utajibeba leo!mi nililijua hili nikatoa ANGALIZO mapema kabisa!MTOTO AKUE HUYO JAMANI!umeona sasa?

Nilisahau kwamba ulizaliwa KWA MTOGOLE....
Binti una GHUBU ka nini, najuuuuuuta kukufahamu.....LOL
 
Hongera kwa kuniongezea mjukuu,
hakikisha unatulia miezi sita (6) usijeleta mazara mengine. tena ujue ukichovya
nje unasababisha afya ya mama na mtoto kudorora.

Hapo umenielewa vizuri.

Najua kwa kawaida huchukua wiki 6 kama ilikuwa kwa njia ya kawaida, lakini sijajua kwa cesarean section huwa inachukuaga wiki ngapi before resuming …………………………………………….

Hili swali nimeulizwa na jirani yangu leo hii, anaomba msaada tafadhali…………LOL
 
Mie wiki tatu, nikakalia kitu chenye ncha kali!! Chezeiya ukame weye???? Tena c-section ya mapacha!!! Mapemaaaaaaaaaa nikajisevia, nilikalia ili nijipimie, nikiona naumia, napunguza kipimo cha ujazo, ebo! Kula mzigo babu kama wiki 3 zimepita, ila ule polepole, kama watu wazima walavyo, sio tena papara kama kina mwafulani!!!! Ol the best babu!
cacico una akili sana wewe, achana na hwa mashankupe wa chit chart kina snowhite, lara 1. @FP, sweetlady1 na kina charminglady... Mabinti wabaya sana hawa.

yaone vile, misura yao mibayaaa.....LOL
 
Last edited by a moderator:
Nilisahau kwamba ulizaliwa KWA MTOGOLE....
Binti una GHUBU ka nini, najuuuuuuta kukufahamu.....LOL

nakwambia unalo babu!limekuganda hili
sa we cacico huyu babu ukimwambia hivo ndo atakandamiza kabisa mwenzio akiulizwa atakutaja ujue siku tukienda kumuona mama ngina atakukataje jichoo!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi mi hata usemeje wala huntishi!we mambo gani ya kuanza kutaka kumfumua mshono mwenzio?
hakuna na cha poo wala nini hapa tunakukomalia mwanzo mwisho mpka kipotee!ahahahhaahhh babuuuuuuuuuu!utajibeba leo!mi nililijua hili nikatoa ANGALIZO mapema kabisa!MTOTO AKUE HUYO JAMANI!umeona sasa?

Tena atulie kama anataka kunyolewa huyo Mtambuzi.
Cha kumfumua nyuzi mtoto wa mwanamke mwenzake?
Umelala nayo,umeamka nayo kwa miaka cjui 8,leo kajifungua hutakh hata kumpa chance.
Akha babu wee,
Cha Kufia.
Mama Ngina hamna kutoa Uroda,funga plasta,
Looh! Ugwadu gani huo??
Sepa bhana,acha Bi Mkubwa afidie kilo zake.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom