Mh! hebu nijuzeni wenye uzoefu......Nimeulizwa swali.

kwa kweli ni mrembo sana,
tena amejitunza kwani bado ana umbo dogo dogo,halafu ni mrefu wa wastani na rangi yake ya asili yaani maji ya kunde,
kweli ulinzi ni muhimu sana la sivyo mzee mzima hapa ataleta tabu.

uuwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiii kama ndo hivyo yaani ulinzi ndo utazidi, tunataka hata baada ya miaka 15 ya ndoa watu wawe wanabishana kuwa bado ni binti......
 
Mtambuzi upesi sna njoo hapa uje utoe msomamo wako mara moja.

i-swear.gif


Jirani amekubali kusubiri mpaka wiki sita tu basi, baada ya hapo anaanza kusongesha kama kawa..... Ni kwa mujibu wa jirani aliyeomba ushauri kutoka kwangu na anawashukuru kwa msaada wenu na ushauri wenu:closed_2:
 
kwani una haraka ya kwenda wapi wewe mtoto,
ni miezi sita, tena kwa uangalifu mkubwa sana,
kama hausikii ni kivyako mi sipo.

Mamndenyi are you serious...! Unazungumzia miezi au wiki?
nahisi itakuwa ni typing error labda.... au?


 
mie nikikuhadithia ada ya shule sina mwakani. Ngoja wakezo waamke kaka.

Ada ntakupa mimi King'asti usiogope ivyo? khaaa

swtlo mzima wewe? hahahhahhahh..............unashangaa nini ilihali mzee mwenzenu anataka kuleta dhahama hapa?

eti anataka kumzibua mtoto maskio lol! yaaani hata wiki hana????????????? mmmmmmmmmmmmmh! this time kuna watu tumejitolea kumsmamia lazima miez sita igonge .....lolest!


sweetlo gfsonwin sijambo jambo, majukumu ya kiume yananiweka busy kidogo......haya huyu mzee Mtambuzi ndo mnampa semina elekezi mara miezi 6 mara wiki tatu atamwambiani "jirani" yake?

By the way nilidhani ni pale mwanamke anapokuwa 'cofortable' thats the determining factor...sasa kama ni baada ya mwaka, itabidi aconsult 'the guide', kama baada ya wiki tatu haya...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom