Mh! hebu nijuzeni wenye uzoefu......Nimeulizwa swali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh! hebu nijuzeni wenye uzoefu......Nimeulizwa swali.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, Oct 15, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Najua kwa kawaida huchukua wiki 6 kama ilikuwa kwa njia ya kawaida, lakini sijajua kwa cesarean section huwa inachukuaga wiki ngapi before resuming …………………………………………….

  Hili swali nimeulizwa na jirani yangu leo hii, anaomba msaada tafadhali…………LOL
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  hee ushatamani mara ile.sina uhakika,kwani nilijifungua ki kawaida,ila naamini atakavyokuwa comfortable mzazi.maybe miezi 3.wengine wanasema miezi 6,nilishawahi kumuuliza dada mmoja akaniambia kwenye miezi 2 na nusu na sio 6.
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  you mean mpaka mshono upone sio?
  Una haraka mkuu? Vuta subira! Bishanga nilivumilia miezi 18 ya ukame!
   
 4. k

  kisukari JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  mbona umeileta chit chat,au unatania?
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimeshasema niliulizwa na jirani yangu leo jioni..... mimi ni mwakilishi tu......LOL
   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mzee mwenzangu Bishanga, kwa hiyo nimshauri huyu jirani yangu atafute tiba mbadala....?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  We kisukari nawe, mbona hutumii tafsida...?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Miezi 18...!
  Duh, yataka moyo aisee...................
  [​IMG]
   
 9. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Usitake kutuchota akili.
  Unauliza wewe au huyo jirani yako.
  Kama wewe subiri miezi 6,na baridi hili cpati picha,
  Utajikunyatajee!!
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wabishi humu sijapata kuona.....
  Kweli vile ni jirani yangu kabisa ndo kaniuliza hilo swali......LOL
   
 11. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  6 weeks mshono unakuwa umepona na mechi inaweza anza, mie nilifanya hivyo
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Vumilia tuuu! Ni upepo utapita!
   
 13. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kiongozi, hapo naona mtu kakaa mkao wa kukata tamaa na mgonjwa kapewa mgongo!
  Ukiniambia niipe maneno hiyo image ni kama vile mtu anapiga hesabu za kucheza faul hivi ! Salama sana hiyo nyumba isiwe na mchezaji wa nyuma anaecheza No 3 !
   
 15. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mzee Mtambuzi Kwa ufahamu wangu mimi inashauriwa miezi 6 before resuming lakini hata kama ikiwa chini ya hapo haina madhara yoyote ila ni vyema ikawa kuanzia miezi mitatu hadi sita ila kama ukishindwa kuvumilia basi muache japo mwezi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160

  Wajina! Siyo Kongosho tu! Ngoja wale makong'o wa jukwaa hili wadamke!
  Majibu atapata ya kutosha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. k

  kisukari JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  sawa nimekuelewa.huyo aliesema miezi 6 mbona mingi.kuna mtu aliniambia miezi 2 na nusu tu mpaka 3.yeye alishauriwa hospitali
   
 18. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nawajua sana na ndio maana huu uzi nikauweka usiku huu mnene, weshalala saa hizi si unajua ngoma ya watoto huwa haikeshagi.... kina cacico, Yummy, charminglady, nivea, mwanangu mwenyewe King'asti, duh, kuna huyu lara 1, hafai kabisa, Ciello na wale wakuda wenzao saa hizi wako chali weshalala kitaaambo...LOL
   
 19. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Ciello yupo macho...namuona hapo chini anakuchungulia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Young Master kalala na simu ikiwa mkononi huyo.............
  Hana ujanja wa kukesha, kesho anatakiwa darasani..............LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...