Mh! hebu nijuzeni wenye uzoefu......Nimeulizwa swali.

snowhite unapiga mkwara utafikiri dogo Asley, kha...
mzee mzima vumilia za uso kwakuwa uzee dawa, sasa hawa mabinti wa siku hizi hawajui hata tafsida wala hawana heshima kwa watu wazima, wanakula nao sahani moja mwanzo mwisho.
 
Last edited by a moderator:

Yaani wamenitoa kamasi hata sina hamu mkuu.................
 
yaani bora usingeleta huu uzi, unalo, tutakaba mpaka penati........ taka usitake miezi 6 utafikisha

Jamani kuweni na huruma kwa mzee wa watu, naye ni mtoto wa mwanamke mwenzenu, mbona mnataka kumtoa roho kwa sababu tu amekuwa mkweli.
 
Hilooo, nishaambiwa na WATAALAMU wangu cacico na gfsonwin kwamba wiki 3 tu zamtosha.....

mzee stuka usikute unaandaliwa mkakati wa kukuangamiza bila wewe kujua ama kustukia.
manake watu wako wa kila siku ghafla leo wamekugeuka ilhali umesema kabisa right from the beginning kwamba hii inamhusu jirani yako lakini wameigeuza kuwa yako.
 
Duh, nishajuaaaa sasa, kumbe wanaume wa chit chart hawana TEAM WORK kabisa, ukilikoroga unalinywa peke yako........ yaani siamini kwamba kina Bishanga, Erickb52, Nicas Mtei, Young Master, @C6, Arushaone, Asprin, na wengineo wameniachia shiranga nilicheze peke yangu............. watu mnaona kabisa nashambuliwa kama kitenesi lakini mmepiga kimya kama haiwahuu....!
 
tatizo wanajua ndio zake hizo kumsakizia jirani wakati ina muhusu mama niniliu...
 
mzee stuka usikute unaandaliwa mkakati wa kukuangamiza bila wewe kujua ama kustukia.
manake watu wako wa kila siku ghafla leo wamekugeuka ilhali umesema kabisa right from the beginning kwamba hii inamhusu jirani yako lakini wameigeuza kuwa yako.

hata mimi nawashangaa aiseee....!
 
Duh, nishajuaaaa sasa, kumbe wanaume wa chit chart hawana TEAM WORK kabisa, ukilikoroga unalinywa peke yako........ yaani siamini kwamba kina Bishanga, Erickb52, Nicas Mtei, Young Master, @C6, Arushaone, Asprin, na wengineo wameniachia shiranga nilicheze peke yangu............. watu mnaona kabisa nashambuliwa kama kitenesi lakini mmepiga kimya kama haiwahuu....!
he heeeeeeeeeeeee, umeona eeeeh, lako hilo......... yaani utafikiri hawakuoni................ bora sisi timu yetu bomba, yaani nawapendaje wadada wa humu, ushirikiano 100%
 
pole sana kaka mkubwa tupo pamoja.. ila acha hizo bwana...
 
Last edited by a moderator:
snowhite unapiga mkwara utafikiri dogo Asley, kha...
mzee mzima vumilia za uso kwakuwa uzee dawa, sasa hawa mabinti wa siku hizi hawajui hata tafsida wala hawana heshima kwa watu wazima, wanakula nao sahani moja mwanzo mwisho.
Mwita Maranya cha ajabu sana Mtambuzi anataka tumuhalalishie kumzibua matoto maskio wakati mama hata nyuzi hajatoa jamani ni ukame ama? hapo haruhusiwi kugusa kwasasa hadi mama mshono upone kabisa ingawa anaweza kukaa hardly miez 2. pia amwache mama apate tena hamuaa jamani kuzaa kunauma sasa kumwingilia kwa wakati huu unakuta bado mama anamawazo sana hata kulifurahia hawez kufurahia.
 
Last edited by a moderator:
he heeeeeeeeeeeee, umeona eeeeh, lako hilo......... yaani utafikiri hawakuoni................ bora sisi timu yetu bomba, yaani nawapendaje wadada wa humu, ushirikiano 100%

Mianaume ya chit chart ndivyo ilivyo....Source Bishanga
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom