Lema doesn't need any permission to campaign for anyone....
Tendwa was completely wrong
Lema doesn't need any permission to campaign for anyone....
Sasa apa udini ni upi? hivi kwako tafsiri ya udini ni nini?
Kwamba Lema ana haki ya kwenda kufanya kampeni huko arumeru mashariki si suala hapa kwani sisi tulikuwa tunafahamu kabla ya yeye kusema. Anachotakiwa kutueleza ni hatua gani amezichukua dhidi ya watu waliotishia kutoa uhai wa mtu mwingine. Hili ni kosa kwa mujibu wa sheria za nchi yetu na kuna watu wengi tu wengine ambao walishafikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa kutishia kuua. Labda kama tuna sheria za aina mbili ndani ya nchi moja.
chadema au lema hawana wanasheria?
tendwa ni wakufungulia mashtaka,ushahidi uko wazi,kama ametumwa na wazee wa washiri yeye ni shahidi nakama ni propaganda yeye ni mtuhumiwa.
katika nchi inayodai inafuata utawala wa sheria haiwezekani mtu amtume mtu mwingine kupeleka taarifa za kumwua mtu na akaachwa hivihivi.
chadema wasiligeuze hili kuwa la kisiasa hili ni kosa na linatakiwa kuwa mahakamani.nitawashangaa sana kama wataenda kwenye kampeni huku tendwa akiwa akiwa uraini.
Tatizo ni huko mahakamani utakakokutana na majaji aina ya Werema, unategemea kupata haki huko? Imedhihirika kuwa mahakama ya wananchi ndiyo sehemu muafaka.chadema au lema hawana wanasheria?
tendwa ni wakufungulia mashtaka,ushahidi uko wazi,kama ametumwa na wazee wa washiri yeye ni shahidi nakama ni propaganda yeye ni mtuhumiwa.
katika nchi inayodai inafuata utawala wa sheria haiwezekani mtu amtume mtu mwingine kupeleka taarifa za kumwua mtu na akaachwa hivihivi.
chadema wasiligeuze hili kuwa la kisiasa hili ni kosa na linatakiwa kuwa mahakamani.nitawashangaa sana kama wataenda kwenye kampeni huku tendwa akiwa akiwa uraini.
Mie sioni sababu ya kumkataza Lema, kwenda Arumeru ni vizuri aende akaizamishe Chadema.
Viongozi kila mtu na lake. Uhuru wa kuongea