Nina hamu nayo sana hii kitu,lkn kwa jinsi nilivyo na madereva wa daladala na ninapomkumbuka Marehemu Brother Dito(RIP) naona bora ni'vutevute subira kwanza.
ha ha ha, ingawa watanzania wengi wanamisuse! Mwulize Saint Ivuga akwambie. Mwingine
anakupa lift amekaweka kwenye dash board! Mwingine akifika rose garden anaagiza kalocal beer anakaweka mezani ili
mradi tuu kupeana presha
Huu ndo mpango mzima, kitu AK 47,
Hao wanakosea. Nilipokuwa mdogo niliwahi kuona hiyo kitu chumbani kwa dingi kaificha (Nilikuwa mtundu usiulize maswali). Ila nilikuwa najiuliza "hivi jambazi akituvamia baba ataweza kweli kuwahi kuichukua huku alipoificha"? Nilitamani sana kumwuliza hilo swali lkn nikawa naogopa atakaponiuliza nimejuaje ntajibu nini.
..hahahahaha..Na kwa profile picture yako naona una 'utundu' mzuri zaidi ya kufichua bastola, ha ha ha
..hahahahaha..
Mkuu huku nilipo silaha zinauzwa kam Biskuti tu unazikuta Madukani wewe unachotakiwa uonyeshe Kitambulisho chako unauziwa na Risasi pamoja huku mtu akikukorofisha basi unaweza kumtandika mara moja silaha sio kitu kizuri kuuzwa kama juice.
JF haiishi vituko.hii thread ningekuwa nimeianzisha mtu kama mimi ningeshapigwa bann.
mwaJ is it!!? ...! lakni najua ni mzuri kwenye EI!!! lol and that all it matters!! lol!!Hii profile picture isikudanganye hii.
kumbe basi ninakidhi vigezo......
na je kama huyo anayenipima ndio hana akili timamu nitajuaje....? inatakiwa tupimane coz kila mtu ana kichaa chake.....
Hii sasa mashine kubwa, personally huwezi kuwa nayo pengine labda uwe Adam Kighoma Malima
Huu ndo mpango mzima, kitu AK 47,
Sijawahi kumuona aliyenayo ikamletea faida-wengi ninaowajua waliyopata ni matatizo tupu!!!
mchakato unaenda duka la silaha (tanganyika arms) unachagua unayoitaka kama ni glock, perreta... unailipia full amaunt then mashine inakuwa reserved, unapewa receipt na fomu unapeleka serikali za mitaa/mjumbe anarecomend then unapeleka polisi wilaya wanakuchunguza/kuhoji na wanarecomend then polisi mkoa nao unawapelekea. ukipitishwa na hao wote unarudisha fomu pale ulipolipia wanakupa mafunzo mafupi then unakabidhiwa mashine.... only that LAKINI polisi wakirecomend usipewe unakuwa refunded full amaunt
Chamoto aka upaja aka ngoma aka chuma aka ..........