Utamaduni
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 1,279
- 596
Saafi sana, hapo ni kumkabidhi tu rais notes za mkutano wa siri wa Morogoro, uliofanyika chini ya Acting Chairman Nchimbi, kutokana na Lowassa kuwa US sasa hao serikali wakipewa hizo notes waseme wazi wasigeuke mabubu,
maana kuna ambao tuna copy tayari, Ohhh I love this yaani ushirika wa wachawi bwana kweli haudumu hata siku moja..
Natamani uweke hizo copy za hicho kikao hapa JF ili tuzione wote!!
ili hata serikali watakapothibitishiwa wasiwe na pa kutokea coz wananchi tutakuwa tumeshajua ukweli