Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 743
Zemarcopolo una mawazo yabisi baridi
Zemarcopolo una mawazo yabisi baridi
Kuna watu hapa kitaa wanasema "akili za kuambiwa,..."
Propaganda nyingine ni BURE kabisa. Sasa kama lengo ni kupeleka kodi kwenye kampeni si inaweza kuchukuliwa kodi yoyote tu, kwani mpaka itoke kwenye simu?
Hakuna kodi inayokusanywa kwa ajili ya kampeni.
Wananchi wameshashtuka...
Mwanzisha uzi ni moja kati ya magamba yanayovuliwa na kuishia kiunoni
Nimei-beep namba ya Lema, inaita, teh teh teh teh.
Unaanzisha mgomo wakati wewe upo Marekani.
Njoo bongo uongoze maandamano.
Nimei-beep namba ya Lema, inaita, teh teh teh teh.
Unaanzisha mgomo wakati wewe upo Marekani.
Njoo bongo uongoze maandamano.
ha ha ha ... sawa sweetlady naona umeamua kunitambua kama mlevi....We nae umetoka kilabuni ukavamia jf teh , umeandika nini sasa?
je bungeni wanapotumia ubabe kupitisha hoja zisizo na maslahi kwa wananchi wananchi wafanyeje? tuambie
Tuwaambie wawakilishi wetu, waingie bungeni wakajenge hoja kutupigania wanyonge. Hii habari ya kutoingia bungeni halafu kelele za hoja ziropokewa majukwani na mitandaoni hatutendewi haki?
Mkuu mbona povu wakati wewe mwenyewe hujui kitu. Mimi ni mkazi wa Nyololo stendi hizi porojo zenu pelekeni huko. Kwa kifupi wanasiasa ni watu wabaya sana, hupenda kujitazama wao tu. Kwanini wafuasi ndiyo wanakufa?