Mgomo wa Simu Utafeli...

Mgomo wa Simu Utafeli...

Hivi hizi hoja zako nazo ndizo za kizalendo! Unaipenda nchi au unapenda fedha za nchi unazopewa na wezi walioshika madaraka. Mwanakijiji ni mzalendo anayependa nchi na watu wake. Nyinyi na ccm yenu mnapenda tu fedha za nchi na mnawakamua hata maskini wasiokuwa na uwezo wa kupata elf 1 kwa mwezi huku mkiwasamehe matajiri na makampuni ya madini ili mpate rushwa. Sasa tumechoka na nyinyi makupe wa nchi yetu mnaonenepa na kufura matumbo kwa damu zetu.
Huu mgomo wa simu ni kukanyaga tu klach ili kuweka gia ya migomo kamili dhidi ya serikali hii ya wauza unga, wauaji na walipuaji wa wananchi wasiokuwa na hatia kwenye mikutano ya amani ya siasa.
Kesho mgomo unaanza na utaendelea.

Wewe mbona unachekesha!!!? Unajua maana ya mzalendo???

Umeshaona mzalendo anachochea vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini kwao?
 
Kama mnajua kuna bunge kwanini msingesubiri utaratibu kabla ya kuanzisha hilo?...mkajifanya ni dharula....ni kwa ajili ya kampeni 2014/2015 huo ndo ukweli japo mchungu....hamumpati mtu ccm na ndo mana mwanakijiji kaamua kubaki huko....me pia ingekuwa na uwezo hili li nchi ni la kulihama tu hadi waje cuf,chadema,nccr na wengineo co ccm na ndo maana hawataki uraia wa nchi mbili wengi tusingerudi tena...puuuumbav

Mwambie Mwanakijiji akusaidia kukutumia doccuments na wewe uamie Marekani kama anakupenda sana.
 
We Boya haujui ukweli hauna uhalali wa kuandika umbea wako Marehemu Mwangosi hakuawa kwenye maandamano,mbona mnaandika vitu msivyokuwa na uhakika navyo ili umfurahishe nani kama si ujinga?

Mwangosi aliuawa wakiwa kijiji cha Nyololo kifungua tawi la Chadema baba yenu mnaandika umbea wakati nyie ndio mliowatuma Policcm kumumwangosi? Wauaji wakubwa nyie

Mgeni rasmi Dr. Slaa alihudhuria?
 
Kama mnajua kuna bunge kwanini msingesubiri utaratibu kabla ya kuanzisha hilo?...mkajifanya ni dharula....ni kwa ajili ya kampeni 2014/2015 huo ndo ukweli japo mchungu....hamumpati mtu ccm na ndo mana mwanakijiji kaamua kubaki huko....me pia ingekuwa na uwezo hili li nchi ni la kulihama tu hadi waje cuf,chadema,nccr na wengineo co ccm na ndo maana hawataki uraia wa nchi mbili wengi tusingerudi tena...puuuumbav
lakini my beloved gloria si bunge ndo limepitisha jamani?

Tatizo hapa wanataka litenguliwe bila kufuata process za kibunge na mambo hayaendeshi kwa amri za kutoka kwenye viblog au harakati za mmarekani mtanzania...kama ilishapitishwa na bunge si inabidi bunge ndo litengue,hivi hata rais anawezaje kutengua hapo?.
Wakati watu hapa wanazima simu na kurudi kuwasiliana kwa sanduku la posta,mwanakijiji akiwa amerika ataendelea kujinafasi kwa mawasiliano kwa raha zake.mimi sizimi ng'o.
 
Kwanza wamuulize Mwanakijiji huko Marekani kodi zake zote watu wanakubaliana nazo? Je, wamegoma kuzilipa kwa njia za kihuni kama hii inayohamasisha yeye?

Senate na Congress kazi yake nini?
 
Mwanakijiji anazeeka vibaya.. hakuna mtanzania atakayezima simu.. wataongea kishabiki tu humu JF
kweli mkuu plus watu ndo wamepokea mishahara tarehe hizi tena ndo wanafufua na laini zilizokuwa hazijatumika kwa kuweka na masalio....hata simu za nyumba ndogo zilizokuwa off zinatumiwa masalio ya kutosha.ma mpesa na matigo pesa ndo usiseme
chezeiya power of salary kwa mbongo wewe?
 
Nani kakudanganya kuwa umefeli?

Jipe moyo, subiri kesho utaipata freshi, leo tunamalizia vijisalio vyetu pamoja na kuagana na ndugu jamaa na marafiki... Kuanzia sa 6 usiku wa leo simu zote tunatia kwenye maji

Mi sigomi na naomba hiyo buku ilipwe ili siye wa vijijini tupate umeme. Tumechoka kuwa gizani jamani.
 
Mimi ingekuwa hiyi kodi itapekekwa kweli kwenye maendeleo nisingeona tatizo kuchangia hata kama ingekuwa elfu 10 kwa mwezi, tatizo hiyo kodi mpya ya line za simu ni kwaajili ya kampeni za ccm mwaka 2015 .... Tumechoka kuwaneemesha ccm na familia zao!

Mkuu watz wameamka, tuilipe baada ya miezi miwili au mitatu watupe feedback. Wakizila hakuna haja ya kusubiri 2015
 
Nani kakudanganya kuwa umefeli?

Jipe moyo, subiri kesho utaipata freshi, leo tunamalizia vijisalio vyetu pamoja na kuagana na ndugu jamaa na marafiki... Kuanzia sa 6 usiku wa leo simu zote tunatia kwenye maji
Ukiona hivyo ujue huyo ni mtumwa wa kutumwa au mtumwa wa kujituma ili siku moja awe mtumwa wa kutumwa. Siku haijafika yeye anaanza kuwashwa eti 'mgomo umefeli'.
 
Mkuu watz wameamka, tuilipe baada ya miezi miwili au mitatu watupe feedback. Wakizila hakuna haja ya kusubiri 2015

Mimi silipi manake nna uhakika haitapelekwa inakokusudiwa.... Changa la macho tu mkuu
 
mzee mwanakijiji yuko u.s anapiga cm eti anahamasisha mgomo tz huyu mzee ni janga la nchi yetu aje agomee hata tz.

hivi we utaelimika lini? Unawezaje kuambiwa huku unaona? Kwn nani asiyejua kuwa huu ni mpango wa wizi wa kampen ya CCM 2015?
 
hivi kumbe ni kesho? mbona mimi na mke wangu tulidhani ni leo? yaani mimi na mke wangu leo tumetoa line za tigo,kesho za voda.
 
Mi sigomi na naomba hiyo buku ilipwe ili siye wa vijijini tupate umeme. Tumechoka kuwa gizani jamani.
Ukisema hivyo kijijini utapigwa mawe, ona ujumbe wa simu wanotumiana watu wa vijijini: "Bado kidogo ukimpigia mtu utakuwa unasikia hivi...SAMAHANI, MTEJA UNAEMPIGIA ANADAIWA KODI YA LAINI YA MWEZI, TAFADHALI MCHANGIE TUMFUNGULIE LAINI YAKE...! Mtajuta mbona, maisha bora kwa kila mtanzania".
 
Ukiona hivyo ujue huyo ni mtumwa wa kutumwa au mtumwa wa kujituma ili siku moja awe mtumwa wa kutumwa. Siku haijafika yeye anaanza kuwashwa eti 'mgomo umefeli'.

Angejua wananchi walivyoamka kweli asingeweka huu uzi hapa.... Mie nimehamasisha watu zaidi ya 50 na wote wameniunga mkono... Saa 6 usiku tunaanza mgomo rasmi, tena sisi tumeamua laini zote sio moja moja kama alivyoshauri mwanakijiji..... Tumechoka kunyonywa na ccm
 
Huyu jamaa sijui kwanini anaichukia Tazania kiasi hicho. Hajawahi kuhamasisha anything positive, yeye kila siku ni kuhamasisha migomo, vurugu, maandamano na vita...

hasa unataka afanye kazi km unayofanya wewe humu ndani ya kutoa propganda ili ukchukue elfu 7 pale lumumba? Kwn nani anayefurahia hyo kodi ya wizi wanayotaka kutuibia huku jua linawaka? Nyambafu.
 
We Boya haujui ukweli hauna uhalali wa kuandika umbea wako Marehemu Mwangosi hakuawa kwenye maandamano,mbona mnaandika vitu msivyokuwa na uhakika navyo ili umfurahishe nani kama si ujinga?

Mwangosi aliuawa wakiwa kijiji cha Nyololo kifungua tawi la Chadema baba yenu mnaandika umbea wakati nyie ndio mliowatuma Policcm kumumwangosi? Wauaji wakubwa nyie

Mkuu mbona povu wakati wewe mwenyewe hujui kitu. Mimi ni mkazi wa Nyololo stendi hizi porojo zenu pelekeni huko. Kwa kifupi wanasiasa ni watu wabaya sana, hupenda kujitazama wao tu. Kwanini wafuasi ndiyo wanakufa?
 
Back
Top Bottom