Mgomo wa Simu Utafeli...

Mgomo wa Simu Utafeli...

Hongera mwanakijiji Kwa hoja zako zenye uzani, hawa ccm wamechanganyikiwa sio bure, muda wote wanawaza kutukandamiza wananchi wa kipato cha chini, mijitu haina aibu, wala huruma, dawa na tembo kuomba abebwe mgongoni na sisimizi, ccm Wana laana kutoka Kwa muasisi wao kambarage!!
 
mwanakijiji gani huyo amekulia ilala anaisha mjini et anajiita mwanakijiji na kubeba jembe kumbe hata shamba hana ili kuwapata wajinga awatumie kisiasa.
 
Simu zitazimwa tu iwe arusha dar mwanza na nk we wasemaje fisadi mtoto?

Kesho nitakuletea updates toka maeneo mbalimbali ya nchi jinsi watu walivyo hewani kama kawaida.
Mpaka sasa taarifa zizopo toka Songea ni kwamba HAKUNA atakayezima simu yake...
 
mzee mwanakijiji yuko u.s anapiga cm eti anahamasisha mgomo tz huyu mzee ni janga la nchi yetu aje agomee hata tz.

na angekuwa TZ tungeshamgoa kucha na meno bila ganzi ~~~chezea ccm we!
 
Kesho nitakuletea updates toka maeneo mbalimbali ya nchi jinsi watu walivyo hewani kama kawaida.
Mpaka sasa taarifa zizopo toka Songea ni kwamba HAKUNA atakayezima simu yake...

jipe moyo!
 
His days are numbered. Akikanyaga Tanzania soil atahitajika kutoa ufafanuzi wa mambo ambayo yapo kwenye faili lake kwa vyombo vya dola...

Siku zako wewe ndio zinazohesabika kwa yote unayoyashuhudia uongo.Duniani hakuna aliye hai mwenye haki unalijua hilo wewe gamba unaeshutumu nakuhukumu pasi kujua nani ahukumuye?..siku zote baba wa Mtu muongo ni shetani..nikuhakikishie jambo moja...Mungu wetu ni mwingi wa rehema,Mungu humpigania yeyote asimamiaye haki kwasabbu immendikwa mwenye haki ataishi kwa Imani..Hamna magamba,jambo zuri mtalikejeli,mtazihaki,mtazodoa lkn kibaya mtapongezana mtagawiana mkijua mpo sahihi..Nawewe siku zako zinahesabika.
 
..Du! Tz watu wanafurahia kunyonywa (kulipa kodi bila kuboreshwa huduma zozote)! Madawa hosp hakuna!barabara bomu! Reli zetu du!Maiti za ndugu zetu mochwari zinawekwa chini,hakuna friji, shule hazina walimu!michezo hoi, tunafungwa nje ndani! Anyway hata mkitulazimisha tukalipa, hasira zetu zitakua ni oct 2015.
 
Re: Mgomo wa Simu Umefeli..
marcopolo ,m23 ,uncle deo na buku 7Fc wengine kweli nyie chiboko!Mnatekenyana na kucheka wenyewe woote wako kwenye kadesk top kamoja wanapeana key board kupeana like na kuchangia ----- wao,Ama kweli magamba majanga in action.ndo sababu hawathubutu kujisajili kama verified member kama walivyo Ben saanane,miguu michemba,Nepi ni Nahuye et al.
 
Mie namuunga mkono Mwanakijiji, hoja yake sisi mazezeta,mazuzu,majinga,tunaopenda kukopi kila kitu,wafuasi wa chadema,mambumbu ambao tunaamini ukiwa Marekani unafikiri vizuri kuliko walioko Mbagala,Sisi Bavicha,sisi Magaidi na warusha mabomu, sisi wazinzi na wakwepa kodi, tuko tayari, tumekubali kuunga mkono tamko na maagizo ya Mwanakijiji kwasababu yeye ana akili nyingi kuliko Watanzania wote.

Kuanzia sasa nimezima simu yangu mpaka agizo la bwana mkubwa Mwanakijiji litakapokoma.
 
Ni bayana kuwa mwanya wa kodi mpya ya simu unatumiwa na wenzetu hawa wasioitakia mema nchi yetu ili kutuchonganisha na kutusahaulisha jukumu letu kuu la kuijenga nchi yetu. Kwa bahati mbaya pamoja na kwamba Tanzania ni nchi yetu sote, lakini wapo wenzetu wanaofurahi kuona nchi inakuwa kwenye matatizo na migogoro!

Kufeli kwa mgomo huu ni ujumbe muhimu kwa wachochezi wa vurugu.
Watanzania wameshatambua kuwa wachochezi hawa hawana malengo mema.

Kuhusu kodi ya simu, nchi yetu ina mfumo wa uwakilishi kwa njia ya Bunge. Tutumie mfumo huu kutoa mapendekezo yetu ya jinsi tunavyotaka kodi zetu zilipwe. Mfumo umewekwa ili tuishi kama jamii iliyostaarabika inayopanga mambo yake kwa utaratibu maalum. Tuendelee kukataa hawa wanaoibuka na kutufanya tuvutane katika vitu ambavyo tumeshaweka utaratibu wa kuvishughulikia.
Hongereni watanzania kwa kukataa uchochezi...
Nina uhakika kuwa maneno haya unayaandika kwa kutumwa na si kutoka katika fikra zako.

Kama ni fikra zako basi unapaswa ukimbizwe hospitali kwa ajili ya uchunguzi wa afya yako. Ningeshauri uonane na mtaalamu wa maradhi ya akili na kama hatagundua jambo basi onana na mtaalamu wa saikolojia.Hata hivyo siamini kama umgonjwa ninaamini umetumwa.

Eti watu wasioitakia mema nchi yetu!! Hivi waliochukua bilioni 8 wiki mbili zilizopita kutoka katika mkutano wa partnesrship ndio wanaoitaki nchi hii mema.

Hivi kusema kuwa huu ni wizi ni kuchochea vurugu. Hivi unaweza kusema tunajenga nchi hii huku muuza tenga la nyanya la sh 3,000 akitozwa kodi sawa na mwizi wa bilioni 1 za halmashauri.

Ni ujenzi gani wa taifa unaoongelea wewe wakati kuna mtu anakufa kwasababu ya kukosa sh 1,500 za antibiotic wakati kuna mke wa mtu ameenda Appolo kuchekiwa kama ataweza kushika mimba ya tatu!!

Kuna ujenzi gani wa taifa mama akizaa na kununua wembe wa kukatia kitovu huku dhifa za kitaifa za kulisha watu vinywaji zikigharimu milioni 300 kwa usiku mmoja.

Hivi wewe huoni dhiki inayowachapa wenzako vijiweni umekaa kuwaaminisha kuwa kudai haki zao ni uchochezi.Hivi wewe hujui kuwa kule kijijini kuna mtu ana bargain kati ya 1000 ya simcard na chakula cha siku.

Sitaki, narudia sitaki kabisa kuamini kuwa una tatizo la akili. Nasoma mistari yako ilivyojipanga na jinisi unavyoandika kwa umaridadi nagoma kabisa kuamini kuwa unahitaji matibabu.
Sikubali hadi atakapotokea mtu kunishawishi kuwa wewe ni mwendawazimu.
Nina baki kuamini wewe mtu mwenye akili timamu na nimekusoma hapa jamvini mara nyingi, siamini kabisa kuwa unaweza kuwa umeugua usiku wa leo.

Siamini kuwa huu unaweza kuwa mwanzo wa maradhi ya akili, siamini!
Siamini kuwa unaweza kuuza akili kwa thamani ya pesa, saimini! nasema siamini
 
Mtazima zenu huko Arusha.

hahahaa hao wote wanaosema kuzima wanafanya na wanatafuta umaharufu. utawaona jf muda si mrefu. hakuna wa kuzima simu.

kwanza watz wengi awajui kama kuna kuzima simu .
kondoo wa uyo mzee ndio watazima.
 
Mgomo uko palepale, tena hadi naona siku zilikawia kufika...
 
Harakati za kugomea huduma za simu zinazofanywa na mkazi wa Marekani anayejitambulisha kwa jina la kujificha kama Mzee Mwanakijiji UMEFELI.

Kilichosababisha kufeli kwa mgomo huu ni kukosa tija.

Mwanaharakati huyo ambaye pia ni kinara wa kuitengenezea Tanzania maadui duniani alitamani kuona watanzania wanazima simu zao na kukosa huduma hiyo muhimu wakati yeye akiendelea kupata huduma zake bila matatizo.

Ikumbukwe kuwa mgomo huo umeitishwa siku za kazi ambazo wanafunzi watakuwa shuleni. Hii ni kumaanisha kuwa Mwanakijiji anahamasisha wazazi wazime simu na kutojali iwapo kutatokea habari ya dharura toka shuleni kuhusu watoto wao!!!

Tabia hii ya Mwanakijiji ambaye ni mwanaharakati wa Chadema inafanana na kitendo alichokifanya Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dr. Wilbroad Slaa Iringa ambapo alihamasisha vijana kukaidi amri halali ya Polisi na yeye mwenyewe akaitii amri hiyo na kujifungia hotelini. Uchochezi huu wa Dr. Slaa ulisababisha kifo cha mwandishi Mwangosi. Kila anapoulizwa kwanini hakuwepo eneo la tukio wakati yeye ndiye aliyeitisha maandamano Dr. Slaa amekuwa akipepesapepesa macho kwa aibu.

Bado haijafahamika kwanini Mwanakijiji amekuwa mchochezi wa vurugu nchini Tanzania ilhali yeye mwenyewe hataki hata kutembelea nchi hiyo ambayo kuna taarifa ambazo bado hazithibitishwa kuwa uraia wake ameshaubwaga.

Miongoni mwa vurugu alizochochea Mwanakijiji ni pamoja na :
kuhamasisha walimu wasifundishe wanafunzi
Kuhamasisha madaktari wasitibie wagonjwa
Kuhamasisha watu wasilipe kodi
Kumchochea Kadinali Pengo aanzishe vita
Kuhamasisha watanzania kususia mchakato wa Katiba Mpya
Kuhamasishwa wananchi waikataze serikali kununua mitambo ya kuzalisha umeme
Kusambaza habari za uongo juu ya Rais wa Nchi
Kuhamasisha chama cha siasa kuanzisha kikundi cha vurugu
Kuhamasisha watu waukatae Muungano
Kuhamasisha wananchi wakatae kushiriki shughuli za maendeleo.

Ni bayana kuwa mwanya wa kodi mpya ya simu unatumiwa na wenzetu hawa wasioitakia mema nchi yetu ili kutuchonganisha na kutusahaulisha jukumu letu kuu la kuijenga nchi yetu. Kwa bahati mbaya pamoja na kwamba Tanzania ni nchi yetu sote, lakini wapo wenzetu wanaofurahi kuona nchi inakuwa kwenye matatizo na migogoro!

Kufeli kwa mgomo huu ni ujumbe muhimu kwa wachochezi wa vurugu. Watanzania wameshatambua kuwa wachochezi hawa hawana malengo mema.

Kuhusu kodi ya simu, nchi yetu ina mfumo wa uwakilishi kwa njia ya Bunge. Tutumie mfumo huu kutoa mapendekezo yetu ya jinsi tunavyotaka kodi zetu zilipwe. Mfumo umewekwa ili tuishi kama jamii iliyostaarabika inayopanga mambo yake kwa utaratibu maalum. Tuendelee kukataa hawa wanaoibuka na kutufanya tuvutane katika vitu ambavyo tumeshaweka utaratibu wa kuvishughulikia.

Hongereni watanzania kwa kukataa uchochezi...

Mungu Ibariki Afrika,
Mungu Ibariki Tanzania...

Udini tu!
 
This is simply nothing but a list of fallacies, naona unachochea ujinga miongoni mwa watanganyika
 
hahahaa hao wote wanaosema kuzima wanafanya na wanatafuta umaharufu. utawaona jf muda si mrefu. hakuna wa kuzima simu.

kwanza watz wengi awajui kama kuna kuzima simu .
kondoo wa uyo mzee ndio watazima.

Mgomo umeshafeli, watu wote wako hewani kama kawaida...
 
Hivi mkuu, siku mpya huanza saa ngapi? huo mgomo si ulipangwa jumatatu? mbona karibu watu wangu wote wapo hewani na ukizingatia leo ni jumatatu?
 
Watu wa Songea wameshathibitisha kuwa hawakubali kupotoshwa na mtu aliyeukana uraia wa Tanzania. Njama za hasidi wa nchi yetu zimeshindwa...
 
Hikitu ime feli kabisa niko ndani ya gari hapa. Na drive kwenda mjini watu wanapiga sm kwenye maredio kama kawaida...nampa pole yule mtu alieanzisha huu mpango watanzania sio wajinga kiasi hicho watu waache shughuli zao kisa mtu katoa agizo yeye mwenyewe yuko usa kwanini na wewe usingekuja hapa kugoma nasi ovyooooh
 
Kuna jamaa ameleta taarifa toka tanga anasema huko hakuna mtu yeyote anayejua juu ya huu upuuzi, halafu akaniuliza huyo aliyeitisha mgomo kwani ndio nani? Hhahahahahahahahahaha

mgomo umefeli...
 
Back
Top Bottom