Mgomo wa Simu Utafeli...

Mgomo wa Simu Utafeli...

Pamoja na Mwanakijiji kuwa na weledi wa kuchambua mambo , hana uwezo wa kutoa solutions.
Mbaya zaidi solutions zake ni za "quick fix", bordering on naivety.

Kama nagekuwa close na yanayoendelea nchini pengine angejua kuwa ni kama mtu aliyewekwa kwenye chupa inayoelea baharini, anaona kila kitu lakini yeye mwenyewe hazami na maji wala hana uwezo wa kuamua kule anakoelekea.
 
Jamaa yuko kinadharia zaidi...
 
Huyu jamaa sijui kwanini anaichukia Tazania kiasi hicho. Hajawahi kuhamasisha anything positive, yeye kila siku ni kuhamasisha migomo, vurugu, maandamano na vita...

Angalau hata angekuwa anaishi hapa Tanzania.

Unamwambia dereva wa Bajaji na bodaboda azime simu halafu hela ya kula utampa wewe???

Yeye yupo zake Marekani huko anakula bata halafu anawaambia wenzake wazime simu , huyu jamaa ni janga kubwa sana.
 
Nimei-beep namba ya Lema, inaita, teh teh teh teh.

Unaanzisha mgomo wakati wewe upo Marekani.

Njoo bongo uongoze maandamano.

Angetaka huu mgomo ufahamike angepita na maspika makubwa mitaani kwenye gari la wazi aweke na wacheza Sebene wawili watatu mtaa kwa mtaa atangaze wazime simu.

Sasa tabu yeye yupo zake huko Michigan anakula bata huku wenzake ni madereva wa bodaboda wanategemea wapigiwe simu wakachukue vichwa, kweli aliyeshiba hamfikirii mwenye njaa.
 
Mgomo UMEFELI...
Muda wa kubishana na wewe ndo sina!ninachojua jana nimezima cm masaa 24 ,na Leo nimezima voda.tulikuwa wa ngapi?sitaki kujua.toka mwanzo nilisema maadamu nimeamua kugoma siangalii tulikuwa wangapi!hata nikiwa peke yangu ni sawa tuu!mgomo unaendelea tu.acha makampuni ya cm yaseme,usiyasemee.
 
Nimetoka kufanya mazungumzo na Dr Slaa muda sio mrefu kupitia namba yake ya voda. Kweli mgomo umefeli.
 
Wewe hujagoma ila ulitoka tu hewani sawa na mtu aliyesihiwa battery au aliyesafiri. Hii ni kumaanisha kwamba simu kwako haikuwa na tija. Wenzako ambao simu zina tija kwao hawajaona sababu ya kumsikiliza mtu asiyeitakia mema Tanzania ndio maana mgomo UMEFELI...
 
Nimetoka kufanya mazungumzo na Dr Slaa muda sio mrefu kupitia namba yake ya voda. Kweli mgomo umefeli.

Dr. Slaa hawezi kuacha dili zake kwa sababu ya Mwanakijiji ndio maana alimwambia "Mwanakijiji aje nchini aone uhalisia asiwe anapinga tu kwenye mitandao"
 
Kuna mambo najiuliza hivi amani uletwa na nini? Amani uletwa kwa usawa yani namaanisha kutokuwagandamiza wananchi hivi hiyo elfu moja wanayotaka kutoza wananchi ambao ni maskini na ndiyo walio wengi unategemea nini kamasiyo kufikia mahali nakukata tamaa na viongozi hakiya MUNGU kwa mwendo huu siombei vita ila yetu macho kitakachotokea sijui ndipo wewe ulioleta hii habari utakapojua huu ujumbe wako ulikuwa unasaporti ujinga. Haiwezekani utete upuuzi kama siyo mmoja wao walio weka hilo tozo
 
Nani kakudanganya kuwa umefeli?

Jipe moyo, subiri kesho utaipata freshi, leo tunamalizia vijisalio vyetu pamoja na kuagana na ndugu jamaa na marafiki... Kuanzia sa 6 usiku wa leo simu zote tunatia kwenye maji

Mimi ingekuwa hiyi kodi itapekekwa kweli kwenye maendeleo nisingeona tatizo kuchangia hata kama ingekuwa elfu 10 kwa mwezi, tatizo hiyo kodi mpya ya line za simu ni kwaajili ya kampeni za ccm mwaka 2015 .... Tumechoka kuwaneemesha ccm na familia zao!
Is this some hacking?
 
Kuhamasishwa wananchi waikataze serikali kununua mitambo ya kuzalisha umeme

...

Kama kuna mafanikio aliyopata Mwanakijiji labda kwenye huo mgomo hapo juu ambao unaendelea kutu cost sisi walala hoi mamilioni ya shilingi kila mwezi.

Huyu jamaa ni muhujumu uchumi mkubwa kabisa.
 
mwanakijiji gani? huyo mzee bang haijaisha kichwani tangu avute akiwa shule
 
Kama kuna mafanikio aliyopata Mwanakijiji labda kwenye huo mgomo hapo juu ambao unaendelea kutu cost sisi walala hoi mamilioni ya shilingi kila mwezi.

Huyu jamaa ni muhujumu uchumi mkubwa kabisa.

Yeye alifanikiwa haswa maana lengo lake lilikuwa kuiongezea serikali gharama za uzalishaji umeme ili wananchi wakose huduma hiyo muhimu na kuichukia serikali.
 
Kuna mambo najiuliza hivi amani uletwa na nini? Amani uletwa kwa usawa yani namaanisha kutokuwagandamiza wananchi hivi hiyo elfu moja wanayotaka kutoza wananchi ambao ni maskini na ndiyo walio wengi unategemea nini kamasiyo kufikia mahali nakukata tamaa na viongozi hakiya MUNGU kwa mwendo huu siombei vita ila yetu macho kitakachotokea sijui ndipo wewe ulioleta hii habari utakapojua huu ujumbe wako ulikuwa unasaporti ujinga. Haiwezekani utete upuuzi kama siyo mmoja wao walio weka hilo tozo

Hakuna maendeleo bila kodi. Muulize Mwanakijiji analipa kodi ngapi Marekani bila kugoma?
 
Tanzania ina rasilimali ngapi? Sawa hakuna nchi ambayo awalipi kodi. Lakini hii serikali dhaifu wana samehe kodi ipo mingi tuu ambayo wananufaika nayo wao wenyewe alafu wanawachapa walio wanyonge endeleeni mwisho upo kwani unafikiri amani itowekaje kama siyo ishu hizi zakipuuzi atawewe japo ni fisadi au mtoto wa fisadi huko kijijini kwenu huko hutakuwa unawapata ndugu zako kama vocha zipo mpaka za sh 300 unategemea nini kama siyo hiyo mitandao waliona kipato cha walio wengi ni kidogo madini yanaondoka alafu tunapewa net huu siniupuuzi saana
 
Yeye alifanikiwa haswa maana lengo lake lilikuwa kuiongezea serikali gharama za uzalishaji umeme ili wananchi wakose huduma hiyo muhimu na kuichukia serikali.

Si unajua malengo yake kuigombanisha serikali na wananchi sasa hivi roho yake imeburudika sana kuona kwamba taifa limeingia gharama hizi na wamarekani wanapeta.
 
Wengine biashara zao zote zinategemea simu, wakizima simu hiyo hasra watakayopata ni zaidi ya kulipa hivyo vikodi vya shilling 1000 kwa miaka 20 ijayo.

Huyu Mzee Mwanakijiji haitakii mema nchi hii. Nchi ilimshinda kwa uvivu wake akakimbilia USA anakula pesa za ulemavu asiokuwa nao.

yani unafahamu hasara atakayopata mfnybiasha atakapo zima cm kuliko mfnyabiashara mwnyewe? duh!
 
Back
Top Bottom