Mgomo wa Simu Utafeli...

Mgomo wa Simu Utafeli...

Wengine biashara zao zote zinategemea simu, wakizima simu hiyo hasra watakayopata ni zaidi ya kulipa hivyo vikodi vya shilling 1000 kwa miaka 20 ijayo.

Huyu Mzee Mwanakijiji haitakii mema nchi hii. Nchi ilimshinda kwa uvivu wake akakimbilia USA anakula pesa za ulemavu asiokuwa nao.

Mwanakijiji anadhani watanzania mambumbumbu.

Tangu alipomshauri Kadinali Pengo aanzishe vita nchini watu werevu wamemuelewa vizuri kuwa hana nia njema na nchi yetu. Ndio maana mgomo wake umedorora...
 
Kweli aliyetuloga watanzania kweli ameshakufa. maana huu upuuzi wa serikali dhaifu kuwakanda miza wananchi wake na kujinufaisha matumbo yao huku sisi vijana mpaka sasa hatujui maisha yanaendaje ila nyie mnaoishabikia ccm na huu ujinga inawezekana ni baba zenu au ndugu zenu mnataka tu kutukandamiza sisi endeleeni kujipigia makofi nyie si ndiyo mmefanya nchi hii kuwa na matabaka.

Mtu masikini hawezi kuwa na lugha chafu hadharani kama wewe. Acha uongo, wewe sio masikini - LIPA KODI...
 
SM Katuni July 21.jpg

Mwanakijiji sio tatizo, tatizo ni magambas walioelewa madaraka hawajui ama wameamua makusudi kutojua shida za huyo mbongo ambaye wamemfakirisha. Bado wanataka waendelee kukamua ng'ombe ambaye hana hata tone la maziwa🙁
 
Bado kidogo tu;itakuwa ukimpigia mtu utakuwa unasikia hivi... SAMAHANI MTEJA UNAEMPIGIA ANADAIWA KODI YA LAINI YA MWEZI TAFADHALI MCHANGIE TUMFUNGULIE LAINI YAKE... Mtajuta mbona, maisha bora kwa kila mtanzania.
 
Wengine biashara zao zote zinategemea simu, wakizima simu hiyo hasra watakayopata ni zaidi ya kulipa hivyo vikodi vya shilling 1000 kwa miaka 20 ijayo.

Huyu Mzee Mwanakijiji haitakii mema nchi hii. Nchi ilimshinda kwa uvivu wake akakimbilia USA anakula pesa za ulemavu asiokuwa nao.

Anaejua biashara yake inategemea simu ataamua nn cha kufanya, acheni kuwasemea watu, kwani mwanakijiji amelazimisha mtu azime simu? Mbona mnapiga debe sana kulikoni?
 
Hongera sana, ona hii sms nimetumiwa kutoka kijijini: 'Bado kidogo tu; itakuwa ukimpigia mtu utakuwa unasikia hivi: SAMAHANI, MTEJA UNAYEMPIGIA ANADAIWA KODI YA LAINI YA MWEZI; TAFADHALI MCHANGIE TUMFUNGULIE LAINIYAKE...Mtajuta mbona, maisha bora kwa kila mtanzania.'
Sasa mtu wa namna hii ukimwambia kesho kuna mgomo lazima atashiriki.

Mi sigomi kabisaa...
 
Mtoa mada ndio mchangia mada, ukianza page ya 1,2,3 zote ni yeye tu anatamba.

Jitaidi mkuu Zemacropolo unatisha.
 
Hii ya kufanya tathmini bola takwimu wala taarifa ni kitu ambacho daktari hatakiwi kabisa kufanya

anyway, vilaza wapo wa aina nyingi
 
Hivi hizi hoja zako nazo ndizo za kizalendo! Unaipenda nchi au unapenda fedha za nchi unazopewa na wezi walioshika madaraka. Mwanakijiji ni mzalendo anayependa nchi na watu wake. Nyinyi na ccm yenu mnapenda tu fedha za nchi na mnawakamua hata maskini wasiokuwa na uwezo wa kupata elf 1 kwa mwezi huku mkiwasamehe matajiri na makampuni ya madini ili mpate rushwa. Sasa tumechoka na nyinyi makupe wa nchi yetu mnaonenepa na kufura matumbo kwa damu zetu. Huu mgomo wa simu ni kukanyaga tu klach ili kuweka gia ya migomo kamili dhidi ya serikali hii ya wauza unga, wauaji na walipuaji wa wananchi wasiokuwa na hatia kwenye mikutano ya amani ya siasa. Kesho mgomo unaanza na utaendelea.
Hebu waambie bhana hapa tunajadili hoja sio watu eti oooh mwanakijiji mwanakijiji; tunataka hoja wala mwanakijiji hajasema msiwasiliane na mashule na videti vyenu visiwepo yeye kasema zima laini kwa zamu leo zima voda tumia zingine kesho airtel tumia zingine. Watu hata uwezo wa kuelewa hawana wanarukiarukia tu maneno kwani hilo pengo wakiambiwa wauza unga walizibe watashindwa si wanajulikana
 
Mgeni rasmi Dr. Slaa alihudhuria?

Mlitakiwa msubiri afike ndo mshambulie, sasa nyie mkaanza kushambulia mapemaa ndo maana hakuja. Mlivyoona haji na u.zu.zu wenu mkamalizia hasira zenu kwa mtu aliyewahoji kwann mnashambulia watu wanaofungua tawi? Najua hutaelewa labda mpaka damu itoke sikion
 
Hebu waambie bhana hapa tunajadili hoja sio watu eti oooh mwanakijiji mwanakijiji; tunataka hoja wala mwanakijiji hajasema msiwasiliane na mashule na videti vyenu visiwepo yeye kasema zima laini kwa zamu leo zima voda tumia zingine kesho airtel tumia zingine. Watu hata uwezo wa kuelewa hawana wanarukiarukia tu maneno kwani hilo pengo wakiambiwa wauza unga walizibe watashindwa si wanajulikana

"Amani inaletwa na haki" by juliasi mtatiro leo nkuruma

Je miCCM inatenda haki kwa watu au inasambulia mtu anayewafundisha haki zao raia kama Mzee Mwanakijiji.?
 
"Amani inaletwa na haki" by juliasi mtatiro leo nkuruma

Je miCCM inatenda haki kwa watu au inasambulia mtu anayewafundisha haki zao raia kama Mzee Mwanakijiji.?
Si unajua tena kazi ya akili ndogo
 
Anaejua biashara yake inategemea simu ataamua nn cha kufanya, acheni kuwasemea watu, kwani mwanakijiji amelazimisha mtu azime simu? Mbona mnapiga debe sana kulikoni?

Hatuzimi na kama anavyoshawishi yeye wazime na sisi tuna shawishi wasizime na nna uhakika tutashinda. Nani umfungie biashara zake kwa kishilingi elfu moja kwa mwezi?

Tuone kama kesho hamtaingia humu JF, halafu mtuambie mnatumia nini kuingia humu.
 
Naona kama majibizano ya ngonjera na shairi la
"Lumumba yangu wanitesa, lkn ntakupenda daima"
 
Back
Top Bottom