We Boya haujui ukweli hauna uhalali wa kuandika umbea wako Marehemu Mwangosi hakuawa kwenye maandamano,mbona mnaandika vitu msivyokuwa na uhakika navyo ili umfurahishe nani kama si ujinga?
Mwangosi aliuawa wakiwa kijiji cha Nyololo kifungua tawi la Chadema baba yenu mnaandika umbea wakati nyie ndio mliowatuma Policcm kumumwangosi? Wauaji wakubwa nyie
tutagomea tu.kila siku na line yake wewe usigome sisi tunagomea hasa mimi