Kama mnajua kuna bunge kwanini msingesubiri utaratibu kabla ya kuanzisha hilo?...mkajifanya ni dharula....ni kwa ajili ya kampeni 2014/2015 huo ndo ukweli japo mchungu....hamumpati mtu ccm na ndo mana mwanakijiji kaamua kubaki huko....me pia ingekuwa na uwezo hili li nchi ni la kulihama tu hadi waje cuf,chadema,nccr na wengineo co ccm na ndo maana hawataki uraia wa nchi mbili wengi tusingerudi tena...puuuumbav
Wewe mbona unachekesha!!!? Unajua maana ya mzalendo???
Umeshaona mzalendo anachochea vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini kwao?
Mkuu mbona povu wakati wewe mwenyewe hujui kitu. Mimi ni mkazi wa Nyololo stendi hizi porojo zenu pelekeni huko. Kwa kifupi wanasiasa ni watu wabaya sana, hupenda kujitazama wao tu. Kwanini wafuasi ndiyo wanakufa?
kweli mkuu plus watu ndo wamepokea mishahara tarehe hizi tena ndo wanafufua na laini zilizokuwa hazijatumika kwa kuweka na masalio....hata simu za nyumba ndogo zilizokuwa off zinatumiwa masalio ya kutosha.ma mpesa na matigo pesa ndo usiseme
chezeiya power of salary kwa mbongo wewe?
Hongera sana, ona hii sms nimetumiwa kutoka kijijini: 'Bado kidogo tu; itakuwa ukimpigia mtu utakuwa unasikia hivi: SAMAHANI, MTEJA UNAYEMPIGIA ANADAIWA KODI YA LAINI YA MWEZI; TAFADHALI MCHANGIE TUMFUNGULIE LAINIYAKE...Mtajuta mbona, maisha bora kwa kila mtanzania.'Angejua wananchi walivyoamka kweli asingeweka huu uzi hapa.... Mie nimehamasisha watu zaidi ya 50 na wote wameniunga mkono... Saa 6 usiku tunaanza mgomo rasmi, tena sisi tumeamua laini zote sio moja moja kama alivyoshauri mwanakijiji..... Tumechoka kunyonywa na ccm
hata mimi huyu jamaa mwanakijiji simwelewi bana,yani ni mfitini aliekubuhu.Huyo mzee niliwahi kupenda post yake ya hadithi tu! Kuna wakati huwa nashindwa kuelewa kama huwa anawaza nini.
Huyo mzee niliwahi kupenda post yake ya hadithi tu! Kuna wakati huwa nashindwa kuelewa kama huwa anawaza nini.
Huyu jamaa mtoto wake kesho akienda shule incase of anything yeye atakuwa hewani kupewa taarifa, lakini wabongo anawashauri wapotezee habari za watoto wao.
Yaani jamaa anaona watu wajinga saaaaaana!!!
mzee mwanakijiji yuko u.s anapiga cm eti anahamasisha mgomo tz huyu mzee ni janga la nchi yetu aje agomee hata tz.
Mungu atalinda watu wake...kwani kabla ya simu maisha hayakuwepo? Wewe usigome, acha wenye uchungu wagome, faida na hasara watazipata wao... hakuna anaelazimishwa kuingia kwenye mgomo, kila mtu hapa akili ya kuambiwa amechanganya na yake akapata jibu hivyo ataamua mwenyewe baada ya jibu
Ni bayana kuwa mwanya wa kodi mpya ya simu unatumiwa na wenzetu hawa wasioitakia mema nchi yetu ili kutuchonganisha na kutusahaulisha jukumu letu kuu la kuijenga nchi yetu. Kwa bahati mbaya pamoja na kwamba Tanzania ni nchi yetu sote, lakini wapo wenzetu wanaofurahi kuona nchi inakuwa kwenye matatizo na migogoro!
Kufeli kwa mgomo huu ni ujumbe muhimu kwa wachochezi wa vurugu. Watanzania wameshatambua kuwa wachochezi hawa hawana malengo mema.
Kuhusu kodi ya simu, nchi yetu ina mfumo wa uwakilishi kwa njia ya Bunge. Tutumie mfumo huu kutoa mapendekezo yetu ya jinsi tunavyotaka kodi zetu zilipwe. Mfumo umewekwa ili tuishi kama jamii iliyostaarabika inayopanga mambo yake kwa utaratibu maalum. Tuendelee kukataa hawa wanaoibuka na kutufanya tuvutane katika vitu ambavyo tumeshaweka utaratibu wa kuvishughulikia..
Hahahahahaha s.l.p 15 Kigoma, treni ikikwama no mawasiliano...