Escherichia Coli
Senior Member
- Jan 24, 2012
- 100
- 36
jamani madaktari tumieni hekima!mfikilieni maskini ndiye mlipa kodi pekee asiye na likizo, akiibiwa kila mahala kwa udalali na wana siasa . jalini taaluma yenu na heshima mlio jijengea kwenye jamii na kueni na huruma wanasiasa wasiwachanganye hali ni mbaya hasa kwa maskini walio wasomesha!
nashindwa kutoamini kama hakuna mtu anaye sababisha kwa maslahi yake binafsi japo sielewi kama anaelewa anafanya nini. sikatai serikali ina mapungufu yake lakini tunaua watu wasio na hatia binafsi ningekuwa daktari ningekuwa tayari kufa kwa kutoa huduma kuliko kinachotokea mbaya sana!
bado napitia pitia vyanzo vya habari na sioni tamko la Serikali
Nikishakufa kwa kukuhudumia,utanilelea watoto???Unafiki hautalisaidia taifa kamwe.
Hii kauli sio nzuri, inaonyesha kabisa kuwa unawakilisha madaktari wa namna gani. Kwa kifupi mgomo wenu hauna mashiko.
Mlitumia rasilimali za wote mkasoeshwa ili masiadie jamii, mliziba nafasi ya kusomesha wazalendo wa kweli ambao wangeweka maslahi ya wananchi na jamii mbele.
Hivi matatizo ya madakatri yameanza lini, na Mponda, Nkya na Nyoni wameingia lini hapo wizarani?
Hebu tafuteni sustainable solution ya matatizo yenu kwa kutafuta kiini hasa cha tatizo. Hivi akaondolewa Mponda na Nkya na mkaletewe Waziri wasira na msaidizi wake Malima nao mtawakataa na kugoma?
tumia FIKI katika kufikili wewe......madaktari wako sahhi na kugoma kwao hakuna uhusiano eti wamesomeshwakwa rasilimali za nchi hii.....mponda na nkya waachie nfazi huwezi kaa meza moja ya mazungumzo na mtu ambaye hakusaidiii na alishaonyesha nia ya kutokukusaidia...
pinda ni muongo nampaka sasa bado ameshika rekodi ya kusema uongo nchini nje na ndani ya bunge.....ni mtu anayeropoka na hafilii kwa mapana...jana kasema serikali imejipanga sawa sawa kukabiliana na tatizo lakin ukweli unabaki ule ule kuwa hakuna mkakato wowote na hawajajipanga zaidi ya kupiga porojo na uongo....
ndio kuna watu watakufa sababu ya huu mgomo...lakini huko ndiko kutafuta haki...pale muhimbili watu kibao wanakufa kwa sababu hakuna vitendea kazi na hii ni kazi ya serikali ..pale muhimbili hakuna bandage.....hakuna POP...hakuna hata nyuzi za kushonea wagojwa .....unafikiri nini?
hawa watu wanadai madasi sahihi ila kwa kuwa nchi ya tanzania asilimia 47 ya wananchi wake ni wapumbavu ndio maana wanaona mgomo huu ni batili.....pinda aliwaahidi madaktari kuwa waziri na naibu rais twashughulikia na kufikia kikao kijacho yaani ile tarehe 3 hawa watu walipaswa kuwa nje ya mfumo lakini bado wapo.....halafu sasa hivi wanakuja na kauli eti madai ya madaktari yanashughulikiwa wakati hakuna hata moja linaloshughulikiwa...kwa nini?...jibu ni rahisi tu nchi haina pesa wa mipango madhubuti...mwanangu wa kike mwenye miaka 17 amesema ana akili kuliko kikwete na kikwete ni mjinga na hawezi...wala akifa jina lake haliwezi kuwandikwa kwenye kuta na kwenye mabango kama shujaa......
tuna raisi wa hovyo na waziri mkuu wa hovyo zaidi.....
madaktari hakuna kurudi nyuma.....
Asubuhi nimemsikia Dr mmoja wa Muhimbili kwenye Channel 10 anasema pale hata X ray na Ct Scan machine hazifanyi kazi. Ameeita Muhimbili Hospital kuwa imekuwa health center na sio Referal hospital.
Pia nikamsikia mchangiaji mmoja anasema hospital ya mkoa ya Lindi, hudumA ZA X RAY hamna wanazifata Nyangao Mission hospital ambayo iko 70km away. Sasa kama mgonjwa kavunjika mguu kutokea kijijini kaletwa kwa baiskeli mpaka government hospital anaambiwa hawezi kutibiwa mpaka aende 70km kwa ajili ya x ray then arudi. jamani kuna serikali hapa??
Wananunua V8 kwa kila DED then wanashindwa kutengeneza x ray machine ambayo inatakiwa ifanye kazi kila siku???
Ma Dr naomba wagome tu mpaka kieleweke na baada ya hapo FFU nao wagome ili tuandamane kwenda magogoni kwa amani.
Kuna baadhi ya hospital nimesikia hata dawa za kuoshea vidonda ni bidhaa adim.
Mtwara hata dawa ya ganzi nayo hamna.
Sasa hata Dr wakikaa wodini wanafanya nini zaidi ya kusoma magazeti???? Hivi kweli mkuu wa kaya na vijana wake hawayaoni haya???
Kama kupata DIV 4 form 4 ni ukilaza; Pasco@JF kudisco UD ni kilaza zaidi, je kufaulu sekondari aiiba mtihani?
Dai la kutaka waziri na naibu wawajibishwe kweli at the expense ya maisha ya watu! Hebu tuache ushabiki na uchochezi. Kwa yeyote aliye ground zero ataona hali ilivyo mbaya, bajaji zinabeba maiti halafu hapa tunasemaje?
Shime tukavolunteer huko mahospitalini.
Hii kauli sio nzuri, inaonyesha kabisa kuwa unawakilisha madaktari wa namna gani. Kwa kifupi mgomo wenu hauna mashiko.
Mlitumia rasilimali za wote mkasoeshwa ili masiadie jamii, mliziba nafasi ya kusomesha wazalendo wa kweli ambao wangeweka maslahi ya wananchi na jamii mbele.
Hivi matatizo ya madakatri yameanza lini, na Mponda, Nkya na Nyoni wameingia lini hapo wizarani?
Hebu tafuteni sustainable solution ya matatizo yenu kwa kutafuta kiini hasa cha tatizo. Hivi akaondolewa Mponda na Nkya na mkaletewe Waziri wasira na msaidizi wake Malima nao mtawakataa na kugoma?
Sote tunajua madhara ya mgomo tarajiwa. Serikali yaweza kuepusha madhara kwa jamii pana zaidi kwa kuwaondoa/hamisha hao watu wawili. Hakuna haja ya serikali kukomaa inatakiwa i compromise kwenye hii issue
Nikishakufa kwa kukuhudumia,utanilelea watoto???Unafiki hautalisaidia taifa kamwe.
jamani mi najisikia VIBAYA juu ya nchi yangu hii mpaka natamani kulia, hivi serikali imekubali wananchi wengi wafe kwa masrahi ya watu wawili tu.Habari nilizozipokea sasa hivi kwa njia ya SMS kutoka kwa doctor mmoja pale Mhimbili zinasema hivi,nanukuu,"Hii ya sasa ni bab kubwa responce ni 100% MPAKA EMERGENCY,intern ndio wamemaliza kikao chao cha kupeana moyo na specialist ndio wanaanza Russian culture nw..together we can make it" mwisho wa kunukuu sms niliyoipokea.
My take; hivi serikali ina shindana na madaktari kwa ajili ya maslahi ya kisiasa? au inatakiwa kulinda afya za wananchi wake?
Maana kama mawaziri wamelalamikiwa na ni kweli wameshindwa kuwajibika kwa nini waendelee kuwepo hapo?na je inawezekanaje kupokea malalamiko ambayo kimsingi wao ndio wanalalamikiwa na kisha wakayafanyia kazi?
Nawasilisha wadau
Habari nilizozipokea sasa hivi kwa njia ya SMS kutoka kwa doctor mmoja pale Mhimbili zinasema hivi,nanukuu,"Hii ya sasa ni bab kubwa responce ni 100% MPAKA EMERGENCY,intern ndio wamemaliza kikao chao cha kupeana moyo na specialist ndio wanaanza Russian culture nw..together we can make it" mwisho wa kunukuu sms niliyoipokea.

Neno la Mungu limesema Usiue wala kusababisha kifo
sasa wanaogoma kutoa tiba sijui itakuwa mnafuata maamuzi ya nani?