Bongo bwana ..., Hivi waziri wa afya lazima akubalike na madaktari? Waziri wa elimu lazima akubalike na wanafunzi na waalimu? Waziri wa utamaduni lazima akubalike na footballers, wanariadha, rappers, etc.? waziri wa watoto na akina mama lazima akubalike na watoto na akina mama?
Kinachonishangaza ni jinsi ambavyo watu humu ndani wanona kuwa Madaktari wana haki kwa kila wanachokisema. Tunajua umuhimu wao katika jamii lakini wao wasijione kuwa bora kuliko watumishi wengine serikalini. How do you demand kwamba Waziri lazima aondoke na unataka kweli aondolewe? This is holding the government at ransom. walitaka Mtasiwa na KM waondoke wakaondoka, tena masikini KM akampoteza mama yake in the process. Ndugu zangu Madaktari, mgomo si suruhisho la kila kitu. Hebu fikiria roho za maskini wangapi wanakufa kwa sababu ya migomo yenu. Hamna hata Kwaresma nyinyi? Hiki mnachokifanya ni kwa manufaa ya nani kama sio nyinyi na matumbo yenu? Mna tofauti gani na mafisadi? I hate ufisadi lakini hili mnalolifanya ni well out of control and I will never support this. Doctors must be declared as enemy number one of the common mwananchi! Mkielezwa mnaanza kubwaga matusi humu, well sishangai kwani kama mnaruhusu watu kufa mahospitalini ili mifuko yenu itune, then matusi is just a drop of water in the indian ocean. As we stand, Doctors wanalipwa kuliko cadre yoyote serikalini; mnataka mlipwe kama wabunge????? For this one, doctors you sack!!!
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.

Fanya home work yako vizuriBongo bwana ..., Hivi waziri wa afya lazima akubalike na madaktari? Waziri wa elimu lazima akubalike na wanafunzi na waalimu? Waziri wa utamaduni lazima akubalike na footballers, wanariadha, rappers, etc.? waziri wa watoto na akina mama lazima akubalike na watoto na akina mama?
Je JK, PINDA< MPONDA etc wanafanya vitu vinavyoendana na viapo vyao?Sidhani kama wanachofanya sasa kinaendana na kiapo walichokula...
Madaktari wasio na fikira. Hao hukumu yao kuuliwa kwa kila kifo cha mgonjwa kitakachotokea wakigoma.
Kazi mojawapo ya mawaziri wa afya ni kusimamia mabo yote yaende vizuri wizarani ikiwemo uingizaji wa hizo Dawa! Kama wanashindwa kwa hili hawatufai na ndio mojawapo ya sababu ya wao kun'goka!!Hao wanaoagiza ni hao hao madaktari uchwara waliopo wizarani, wewe unafikiri madaktari wapo muhimbili tu? Kwani anaeagiza dawa na vifaa ni waziri?
Je JK, PINDA< MPONDA etc wanafanya vitu vinavyoendana na viapo vyao?
Kwa Majimarefu kweli wapiga kura walichemsha1 Ila Mr Sugu mbona unamuonea tu? Yeye anajulikana kuwa ni mpigania haki za wanyonge siku nyingi kabla ya kuingia kwenye siasa na hili linajionesha hata kwenye nyimbo zake zileee! Majimarefu yeye alikuwa anawatapeli watu fedha zao tu kwa uganga feky!!!Mh hii ni ujinga?
Hivi tunashabikia nn hapa au kwakua ni serikali ya CCM na JK ? Tatizo ni kudhani kua kwa Ma Dr kugoma ni kuishushia hadhi serikali ya JK na ionekane imeshindwa bila kujua kua hii ni mbegu tunaipanda katika jamii yetu hata chadema wakichukua nchi hii Tabia itajitokeza na kuathiri serikali iliyopo madarakani Kwani siku zote Pesa haimtoshelezi Mtu kwa Siasa aina hii nchi nyingi zimefika pabaya Kwani katika hili kuna wanaofurahi mgomo uwepo basi tu kwakua serikali haiongozwi na Chama chake na Rais aliekua anamtaka.... Huu nao ni Ujinga SIASA..Mtu anaweza kumchagua hata taahira ili mradi Chama chake kishinde hata km mgombea wa upande wa pili ni Zaidi ....km kwa Prof . Maji marefu na Mr Sugu mpaka Leo sioni Mantiki ya vyama vyote CCM na CDM kuwachagua watu Hawa na pengine wasomi wetu kwenye majimbo waliyotoka waliwapigia kura!
Kinachonishangaza ni jinsi ambavyo watu humu ndani wanona kuwa Madaktari wana haki kwa kila wanachokisema. Tunajua umuhimu wao katika jamii lakini wao wasijione kuwa bora kuliko watumishi wengine serikalini. How do you demand kwamba Waziri lazima aondoke na unataka kweli aondolewe? This is holding the government at ransom. walitaka Mtasiwa na KM waondoke wakaondoka, tena masikini KM akampoteza mama yake in the process. Ndugu zangu Madaktari, mgomo si suruhisho la kila kitu. Hebu fikiria roho za maskini wangapi wanakufa kwa sababu ya migomo yenu. Hamna hata Kwaresma nyinyi? Hiki mnachokifanya ni kwa manufaa ya nani kama sio nyinyi na matumbo yenu? Mna tofauti gani na mafisadi? I hate ufisadi lakini hili mnalolifanya ni well out of control and I will never support this. Doctors must be declared as enemy number one of the common mwananchi! Mkielezwa mnaanza kubwaga matusi humu, well sishangai kwani kama mnaruhusu watu kufa mahospitalini ili mifuko yenu itune, then matusi is just a drop of water in the indian ocean. As we stand, Doctors wanalipwa kuliko cadre yoyote serikalini; mnataka mlipwe kama wabunge????? For this one, doctors you sack!!!
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.
Bongo bwana ..., Hivi waziri wa afya lazima akubalike na madaktari? Waziri wa elimu lazima akubalike na wanafunzi na waalimu? Waziri wa utamaduni lazima akubalike na footballers, wanariadha, rappers, etc.? waziri wa watoto na akina mama lazima akubalike na watoto na akina mama?
Hivi hawa madokta hawana ndugu?