The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,637
- 18,268
Wewe unadhani kwamba unachokifanya sasa hivi ni sahihi kwa sababu ukiwa kama daktari, katika situation iliyopo sasahivi, ni kweli kwamba "umeshika mpini", on the other side, wagonjwa ndio "wameshika makali". Suppose ingekuwa wewe, pamoja na udaktari wako, uko wodini umelazwa, halafu wenzako wanakuja na msimamo kama huu mliokuwa nao sasa hivi, ungekuja hapa jf na statement gani?
serikali inawakomoa wagonjwaBila kujali maslahi ya upande wowote katika mgogoro huu, naomba mtu anaeunga mkono mgomo huu anijibu swali hili;- wagonjwa, ambao ni haki yao kupata matibabu, na ambao pia sio chanzo cha mgogoro, wana maslahi gani katika mambo yanayoendelea sasa hivi? Istoshe, katika kugoma kwao, ni makosa kusema madaktari wanawakomoa wagonjwa?
Wameshamaliza kikao chao pale Russian cultural centre....na wamekubaliana kuanza mgomo rasmi wa nchi nzima leo.
Kama ni kweli Sasa ni wakati Muafaka kwa umma kuwafungulia kesi ya mauaji ya kukusudia Madaktari wote kwa kusababisha vifo vya watu wasio na hatia kwa kisingizio cha 'kudai' maslahi bora! ukufika wakati huo wakereketwa wengine, ambao tofauti na akina Kijo bisimba, washauriwe kutembea na kifimbo cheza kuwasaka wauaji hao na kuwaadabisha...hiyo ndiyo nguvu ya Umma!.Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.
Kwa hiyo unataka kusema nini? Wanadai maslahi yao na wewe unaleta siasa za viapo uchwara!!Hivi hawa madaktari wetu huwa wanakula viapo?
Mob psychology ime wa-affect madaktari wetu. Natoa ushauri kila mmoja atafakari ni nini anachogomea hasa kama yeye binafsi bila kutegemea vikao vyao wanavyokaa kupeana molali! Kama ni maslahi yake hayajatekelezwa au ni kuto kujiuzuru kwa mawaziri au vyote viwili. Na ukiangalia dai la kuto kujiuzuri/kutowajibishwa mawaziri imemeza madai yao yote ikiwemo ya masilahi yao. Sasa wawe makini katika madai yao wasije wakawa wanatumiwa na kundi fulani bila kujijua? na hii ndio madhara ya mob psychology. Nawashauri waonane na wataalam wapate ushauri?
Kama ni kweli Sasa ni wakati Muafaka kwa umma kuwafungulia kesi ya mauaji ya kukusudia Madaktari wote kwa kusababisha vifo vya watu wasio na hatia kwa kisingizio cha 'kudai' maslahi bora! ukufika wakati huo wakereketwa wengine, ambao tofauti na akina Kijo bisimba, washauriwe kutembea na kifimbo cheza kuwasaka wauaji hao na kuwaadabisha...hiyo ndiyo nguvu ya Umma!.
Habari nilizozipokea sasa hivi kwa njia ya SMS kutoka kwa doctor mmoja pale Mhimbili zinasema hivi,nanukuu,"Hii ya sasa ni bab kubwa responce ni 100% MPAKA EMERGENCY,intern ndio wamemaliza kikao chao cha kupeana moyo na specialist ndio wanaanza Russian culture nw..together we can make it" mwisho wa kunukuu sms niliyoipokea.
My take; hivi serikali ina shindana na madaktari kwa ajili ya maslahi ya kisiasa? au inatakiwa kulinda afya za wananchi wake?
Maana kama mawaziri wamelalamikiwa na ni kweli wameshindwa kuwajibika kwa nini waendelee kuwepo hapo?na je inawezekanaje kupokea malalamiko ambayo kimsingi wao ndio wanalalamikiwa na kisha wakayafanyia kazi?
Nawasilisha wadau
Kwa hiyo unataka kusema nini? Wanadai maslahi yao na wewe unaleta siasa za viapo uchwara!!