Mgomo wa madaktari unaendelea; Watanzania tuungeni mkono

niamini TBC inazo taarifa za karibu, ila ila imeamua kuzichagua zile ambazo imeona zinafaa kwa taifa kutangaziwa!
Watu wanataka kujua kama huduma zimerejea ........... hasa hospitali za DSM,...........sasa nani anaamua kwamba TAIFA linahitaji taarifa hiyo? ni Mshana au nani?........tukisema wachumia tumbo na makanjanja wanalalamika kwamba hawaheshimiwi.
 
Muongo mkubwa wewe! Hakuna dr aliyerudi kazini hata mmoja. Naungana na mchungaji Mod tunaomba ufute huu uzushi.

unajua pale kuna wanafunzi wa mwaka wa nne na wa tano ambao wasiojua udhani kuwa ni madaktari, ndomana anasema kawaona wakipishana kwenda kusaini, kwani nani kamwambia madaktari huwa wanasaini sehemu moja kama walimu? na pale muhimbili ni vigumu kumgundua daktari kwakuwa hawavai makoti, huyu jamaa kauli zake ni wazi kuwa zinawaongelea wanafunzi wa rotation.
 
niliandika jana
Hawa awana tofauti na machoko wa udsm wakifinywa baadhi wanasambaratika
nikasema leo mtashangaa watakavyokimbizana sasa basi divide n rule apo kuna wengine watagoma kwenda
jamaa wanawakatilia mbali hapo mgomo na maslahi ndio kwishne
Thank you Tanzania
 
kwakweli leo madakatari wote wamerejea kazini. Muhimbili leo asubuhi wakipishana kila mmoja kuwahi kutia sign daftari la mahudhurio.
Ni wazi wito wa waziri mkuu umeitikiwa kwa kasi ya ajabu.

propaganda naona zinaendelea ukipiga picha wannfunzi waliovaa makoti utasema ni madaktari pia kwani wamevaa makoti endeleeni propaganda zenu naona mmedhamiria kuua watu wengi zaidi kwa kuundeleza huu mgogoro
 
  • Thanks
Reactions: FJM
agizo la waziri mkuu limefuatwa?

Tunawaomba wananchi waendelee kutuunga mkono pia sekta zingine sasa nazo zituunge mkono
wazi wazi hivi ni vita amkeni hii ni saa ya ukombozi hawa wanasiasa inabidi waache kufanya mambo ambao yanahitaji utaalam ambao wao hawana

ninachoweza kusema mbeya, dodoma,mwanza-bmc,na dsm confirmed mgomo unaendelea
tutaendelea kuwajuza maendeleo kwenye territories zetu zingine stay tuned

kugoma ndo mpango mzima.

mimi nawaombea kwa Mwenyezi Mungu mbarikiwe, muendelee na mgomo mpaka hawa wehu wajifunze.

kwanza Pinda ana ujuzi gani kitaaluma mpaka kupewa cheo cha waziri mkuu?
 
mi nimeongea na rafiki angu ni daktari pale mhimbili anasema madaktari wengi wamerudi kazini lakini hawana morale ya kazi,watakuwepo kazini lakini wataendelea kudai haki zao.
 
Umati wa watu kutoka tanganyika wanakimbilia hospitali ya taifa ya mnazimmoja kwa matiababu. Muungano oyeeee
 
Pinda ana record ya kuuwa watanzania ukianzia na ile ya LOLIONDO

mpaka sasa nina rekodi ya mama mmoja aliyekufa kwa kula kikombe cha babu.

tena yupo mwengine anahesabu cku zake zxa mwisho mwisho, maana baada ya kula kikombe, hali imekuwa tia-maji-tia-maji.

pinda ni kirusi.
 
PM alikurupuka kuhusu ishu ya madaktari.
Lkn simlaumu, kwani wao CD4 zikishuka si wanaenda Apollo ku change blood!
 
430679_240490069364889_100002116941143_554897_796528962_n.jpg serikali na madktari wake teh teh
 
niliandika jana
Hawa awana tofauti na machoko wa udsm wakifinywa baadhi wanasambaratika
nikasema leo mtashangaa watakavyokimbizana sasa basi divide n rule apo kuna wengine watagoma kwenda
jamaa wanawakatilia mbali hapo mgomo na maslahi ndio kwishne
Thank you Tanzania


sijui tanzania wataweza lini??
 
mi nimeongea na rafiki angu ni daktari pale mhimbili anasema madaktari wengi wamerudi kazini lakini hawana morale ya kazi,watakuwepo kazini lakini wataendelea kudai haki zao.

hao watakuwa ni wale waliopata ajira kwa kupigiwa pande na shangazi
 
Kwa kweli imetosha na Serikali yenu imesikia malalamiko yenu na sasa passi na shaka itatekeleza yale yanayowezekana.

Ni vizuri sasa kuangalia upande wa pili wa shilingi kwani wapambanapo mafahari wawili nyasi ndizo zinaumia.

Angalieni wananchi wa kawaida wanavyotaabika.

rejesheni moyo mrudi kazi huku mkiwasiliana na serikali katika kufanikisha maombi ya stahikhi zenu.
 
Haki za Mashoga ziheshimiwe, maana tunao wengi na hakuna namna inabidi tuwakubali kuishi nao katika jamii.

Kwa hiyo na wewe shoga? pole sana ila unaishi kwenye nchi isiyokuhusu.Nenda U.K kwa wenzio!
 
Back
Top Bottom