Mgomo wa madaktari unaendelea; Watanzania tuungeni mkono

Vitisho na ubabe sio njia sahihi ya kutatua migogoro. Unaweza kutia saini lakin usifanye kazi.

Lakin all in all, siasa zimeingia hapo ndio maana Serikali imeamua kuchukua wajibu wake.

Hongera Pinda.
pinda huu ushauri alipanga na mkewe tunu........hakuangalia wala kufikiria.....sasa ma dr wapo..wamesaini lakini hawafanyi kazi.....
 
tujuze basi. upo wapi?unaoushahidi?
Nna kakangu ni dr Muhimbili, tunawasiliana na ametuhakikishia kuwa mgomo bado unaendelea, yan hapa nnavyoandika yupo nyumbani amelala! Hali kadhalika madaktari wa mount meru hospital arusha nao hawajarudi kazini. Sasa huyo anaesema madr. wapo ni madr. wa wapi?
 
ukweli ni kwamba watanzania wengi wa hali ya chini ndio tunaumia ila tunawahakikishia kuwa HATUPENDENZWI NA DHARAU YA SERIKALI JUU YA WANANCH WAKE NA WAFANYAKAZI WANAOTOA HUDUMA YA MOJA KWA MOJA KWA WANANCH KM DOCTORS & TEACHERS hivyo msirudi nyuma tuko pamoja na MUNGU AWABARIKI
 
DR komaeni kuna heshima mbele yenu yaja hii dhana ya siasa ndio yenye masilahi mazuri pamoja na BOT na TRA tunataka ifutike ili vijana wetu waone kunamaslahi hivyo watapenda masomo ya sayansi.
 
Naungana na Nitonye,madaktari kazeni uzi kbs na sisi wananch tutaanza mgomo mda si mrefu kwsbb tunakosa huduma,ni heri serikal iwasikilize ili kuepuka bomu la wananchi ambalo ni hatari zaid kuliko la madaktari.
 
Asante sana maDr wa Dodoma kwa kuendelea kushikilia huo msimamo,taarifa hizi kanipa dogo yupo pale kua still mgomo upo palepale
 
Madaktari wana hoja ya kugoma, Pinda jana alipiga propaganda kubwa sana kutafuta mass support, ambayo kwa kiasi kidogo amefanikiwa. Ila hii ni mbinu ya zima moto na ya muda mfupi. Hata hivyo sakata hili linaonesha urefu wa maono/vision ya serikali yetu - binafsi naona wanamuono mfupi sana.
 
Dodoma leo wamegoma kuendela kwenda kutoa huduma afya bungeni kwaniwabung nao ni watanzania wa kawaida na wamekataa kuongea na naibu waziri wa afya mgomo unaendelea kama kawaida

ila kama kawaida kwa sababu wamiliki media jioni watawaletea propaganda zao

UONGOZI WA SERIKLINI UMEKAA NA WATUMISHI WA AFYA KUJARIBU KUWABEMBELEZA WARUDI KAZINI
KWANI SERIKALI NZIMA SASA IPO DOM TAYARI WA BUNGE

BIG UPDOM JAMAA WAMEGOMA KWENDA KUTIBU BUNGENMI AMBAKO WAKIENDA HUPEWA PERDIEMS
KWA SIKU TEH TEH TEH

Nimeipenda sana hii big up sana ma DR.
 
Dr. Klinton, katika taarifa yake ya habari ya saa 4:00 asubuhi hii, TBC imeonyesha ripoti kutoka Mbeya kuwa madaktari wamerejea kazini na huduma zimerejea kama kawaida!. Pia Songea, Lindi na Morogoro, japo kwa Morogoro madaktari wamerea huduma hazijarejea!

Umekua msemaji wa Magamba? Lini Tbc1 wamekua wakweli tokea atoke Tido hapo?
 
hawa wanaosapoti serikali hawajui uchungu na adha wanayopata ma DOC wetu...
 
Ivi hii serikali haijui iko kwa ajiri ya nani?
Madaktari sio watoto ukataka kuwaburuza kama wanyama.
Watu wazima na wenye hekima hukutana kujadili kisa na mkasa sio kutunishiana misuri hakufai.
Mwananchi ndo huumia wakati akina Pinda mpaka mafua mwenod wa kwenda Apollo India
 
Nna kakangu ni dr Muhimbili, tunawasiliana na ametuhakikishia kuwa mgomo bado unaendelea, yan hapa nnavyoandika yupo nyumbani amelala! Hali kadhalika madaktari wa mount meru hospital arusha nao hawajarudi kazini. Sasa huyo anaesema madr. wapo ni madr. wa wapi?

Kama bado haelewi mwambie hata Dodoma mgomo unaendelea taarifa hizi ni kutoka kwa bwa mdogo wangu yupo pale
 
Madaktari wana hoja ya kugoma, Pinda jana alipiga propaganda kubwa sana kutafuta mass support, ambayo kwa kiasi kidogo amefanikiwa. Ila hii ni mbinu ya zima moto na ya muda mfupi. Hata hivyo sakata hili linaonesha urefu wa maono/vision ya serikali yetu - binafsi naona wanamuono mfupi sana.

Hivi mbona wanaoshabikia mgomo wengi ni wafuasi wa chama cha migomo na kususa?
 
Kinachohitajika kwenu madr ni umoja na mshikamano wa hali ya juu kuzuiwa kufanya mikutano physically ni challenge ya kutumia teknolojia ya mitandao kuendeleza libeneke. The minute mtakapo rudi nyuma basi serikali itawazarau kama wanavyowadharau waalimu.

Udaktari ni taaluma sio siasa anazopiga pinda shime kwenu na katika kila jambo basi sadaka muhimu pole kwa ndugu wakatao na waliotutangulia kwa athari za mgomo ila bora uendelee ili heshima kwa wanataaluma iwepo
 
Umekua msemaji wa Magamba? Lini Tbc1 wamekua wakweli tokea atoke Tido hapo?

mkuu huyo ndio pasco bana......jamaa njaa sana......alafu anasimamia kwa uadirifu taaluma yake ya uandishi wa habari.....ndumila kubee huyo.....kaa nae mbali....
 
Huu mgomo ulianza vizuri lakini unaelekea kuingiliwa na wanasiasa 'ma-opportunist' na hii imewapa serikali mwanya wa kutokea.
Hivi; pamoja na kukubalina na madai yao, nauliza kabla ya huo mgomo kazi walikuwa wanafanya hawa?
 
Back
Top Bottom