Mgomo wa madaktari: Kituo cha sheria na haki za binadamu chatoa tamko kali!

Endapo watanzania watashindwa kutumia nafasi hii kufanya jambo la maana...basi tena...They will never get such a chance...!!!
 
tamko kauli matamshi huku watu wanakufa,tunataka solution serikali imelala tu
 
Chatu si mkali lakini kwanini wamuogopa...

Wahamasishe Maandamano taasisi zote ziboreshewe mishahara na posho... sio madaktari na wabunge tu.
Wanaosababisha Mfumko wa bei ni hao hao serikali
 
Hapo kuna deal ya ukarimani! Ila wasije kutuletea barefoot doctors...

Barefoot Doctors wako competent kuliko hata hawa watakaotoka chuo cha Kata. Wait n see! Lakini hawa wa matamko wanakera sana. Hatuoni utekelezaji. Mara utawasikia wanasema tutafanya maandamano yasiyokoma! Wapi bwana! Sasa hivi wako kimyaaaa! Nyamb...f!
 
Sifa za kijinga za Pinda zinaathiri Taifa...tatizo la watawala wetu kudhani kuwa watanzania hawana uthubutu wa kudai madai yao linawagharimu sana....na hii ndio zao la kubakia na mawazo ya 1947.....
 
hv hawa si ndio walisema katiba ikisomwa kwa mara ya pili wataandamana?
 
Endapo watanzania watashindwa kutumia nafasi hii kufanya jambo la maana...basi tena...They will never get such a chance...!!!

  • "WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"

Retired Maj Gen DC (1947)...dc


Babu, kwa nchi yetu nadhani ianabidi ubadili signature kidogo na iishie hapo kwenye Underlined.
Sina matumaini yoyote na watu wetu hata kitokee nini!
 
Hivi maandamano ndo yana nguvu kushinda mgomo wa madaktari? Hapa ni kupoteza muda, ningewaelewa kama wangesema tunaenda ku"occupy viwanja vya magogoni" hiyo ndo inaweza kuishtua serikali. lakini kuungua najua barabarani natilia shaka sana mbinu hiyo kufanikiwa.
 
  • "WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"

Retired Maj Gen DC (1947)...dc


Babu, kwa nchi yetu nadhani ianabidi ubadili signature kidogo na iishie hapo kwenye Underlined.
Sina matumaini yoyote na watu wetu hata kitokee nini!


You mean we have not paid enough??

Hata akina Tomaso tunaweza kuanza kutafuta mchawi....Inawezekana ule ulinzi wa marehemu Shekh Yahya Hussein bado unafanya kazi yake!!

Anyway...Nadhani hata simba hulala sana ila njaa ikiuma hawezi tena kuendelea kuuchapa usingizi!!

Babu DC!!
 
Wana JF mnipe taarifa mapema kesho maandamano yanaanzia wapi hata lecturer kesho sijisikii kupiga kabisa ntaandaa maji ya kutosha kusafisha macho,tuingie barabarani tu
 
Kumbe migomo ni bora kuliko maandamano!! Polisi na mabomu yao ya machozi hawana kazi!!
 
Ila nimesikitika kwamba baadhi ya media ambazo nimefuatilia hadi sasa ikiwemo TBC na BBC hawajarusha tena tamko hilo!!

Anyway, ngoja serikali iendelee kujifariji kwa kulindwa na media,....siku zao zimebaki kiduchu tu!!

Babu DC!!

Mkuu DC labda wameshatishwa na Serikali taahira kwamba wakitangaza tu wanaweza kunyang'anywa leseni zao za biashara ya Utangazaji.

 
Cha kushangaza hapa watu wataalamu kutumia keyboard na keypad. Wanaharakati ni wachache mno, wanaregemea nguvu na msukumo wa wananchi. Kila mtu anaamini ni kazi ya wanaharakati kuandamana. Wanaharakati wakiitisha maandamano hamjitokezi

Itapendeza kama kweli hao wanaharakati wakiitisha hayo maandamano kila mtu humu akawa anaandika kutokea
 
Jamani tusiwalaumu wanaharakati hapa. Kama sikosei nimeshaona matamko yao katika maredio, TV na magazeti kupinga huu ubabe wa serikali yetu. Leo wameandaa maandamano, jamani tujitokeze wote kuwaunga mkono kwasababu wanatetea haki za watanzania wenzetu wanyonge wanaoendelea kuteseka na kupoteza maisha yao.
 
Back
Top Bottom