Mgomo wa chuo kikuu RUCO Iringa

Mgomo wa chuo kikuu RUCO Iringa

pochetino

Senior Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
132
Reaction score
23
Polisi wametapakaa chuo kikuu cha Ruaha, wanawapiga mabomu ya machozi wanachuo ambao wamejaaa viunga vya chuo wanadai fedha za kujikimu(boom) hii serikali kandamizi cjui 2taitoa lini!
 
hao wanafunzi hawana madai ya msingi wanasukumwa na wanasiasa
njaa kila mtu anayo mbona hata kijijini wana njaa wanavumilia------------

Msemaji mkuu
Makao makuu
Sio lumumba
 
Ukawa wameshindwa kwa Madereva sasa wamehamia kwa Wanafunzi vyuo Vikuu...
 
Aaaaahhh!;!; kitu cha bure siku zote kinausumbufuuu
 
watu wanachukulia boom kama hisani...sio hisani ni haki ya wanafunzi kupata kila muda unapofika sababu ule ni mkataba ulioingiwa wakati watu wanaanza chuo,ni mkopo kama mikopo wanayopewa wabunge na hatujawahi sikia wabunge wakilalamika kuwa wamekosa mkopo......serikali na nyie watetezi wake acheni ujinga wapeni watu haki yao
 
duuuh vyuo vyotevwanafunzi wanalia boom, hii ni dalili serikali inapata hela kwa kuvizia, no constant availability ya hela...maskini ka nchi kangu kamebarikiwa vyanzo vya hela ila hakajabarikiwa hela.
 
siamini kama serikali haina hela nadhani serikali haina mpangilio wa vipaumbele!
 
hao wanafunzi hawana madai ya msingi wanasukumwa na wanasiasa
njaa kila mtu anayo mbona hata kijijini wana njaa wanavumilia------------

Msemaji mkuu
Makao makuu
Sio lumumba

acha kujitoa ufahamu wewe kama yale mazuzu kule wanakogawa pipi
 
Ikifika wakati wa kukata pesa waliyokukopesha wako very punctual!!!

Hii nchii hii,,,sijui tuiteje,majina yameisha
 
kitu kidogo tu UKAWA,, hizo hela wangezitoa kwa wakat nan angegoma?..... ukawa inawanyima watu usingiz
 
Jaman mi nipo huku hakuna cha ukawa wala wanasiasa wanaochochea tuna karbu mwez wa Tatu hatujapewa hela za kujkimu ukzngatia tuliwahi kufungua kabla ya u.d so msicomment vtu kwa kutu jaj wakt hamjui shda zetu huku
 
I wish ningekuwa Iringa muda huu na usiku dah! dah! ningekuwa nachekelea tu
 
University of Iringa nako kimenuka police wameshafika kudhitibi mgomo
 
hao wanafunzi hawana madai ya msingi wanasukumwa na wanasiasa
njaa kila mtu anayo mbona hata kijijini wana njaa wanavumilia------------

Msemaji mkuu
Makao makuu
Sio lumumba
Ha ha ha haaaa! hii ya kukwepa majukumu kwa kisingizio cha "wana siasa" ni staili mpya ya ccm miaka hii ya demokrasia!
 
Back
Top Bottom