Ndugu zanguni leo nimefatilia kwa karibu sana Mgomo wa wanachuo wa chuo kikuu cha RUCO Iringa,kutokana na ule mgomo nimegundua yafuatayo
1:Walihusika na kuandaa ule mgomo ni watu wasio wanafunzi kupitia kwa wanafunzi namaanisha msukumo wa kugoma umetokana na wanasiasa ambao wamepenyeza
siasa katika chuo kile kwa manufaa yao huku wakiwatumia watoto wa masikini wenzetu ambao naamini uongozi wa chuo lazima uwachukulie hatua za kinidhamu kwa kuhusika na mgomo huo.
2:Mgomo ule si wa wanachuo wote bali ni kakikundi fulani kenye Itikadi za kukosoa pasipo kujua wanakosoa nini,namaanisha hajui wazungumze nini na nani na wakati gani na kwa njia ipi.
USHAURI WANGU
Wanavyuo mnapokuwa vyuoni mfate kilicho wapeleka tunajua wengi mnategemea BOOM ili mjikimu na mahitaji yenu na asilimia kubwa ni masikini wenzangu sasa utakapo fukuzwa chuoni utakuwa mgeni wa nani,kumbuka kosa lako leo linaweza kughalimu maisha yako
yote.
View attachment 253206pichani wanachuo wakiandamana(mwanzo wa maandamano RUCO)