Mgomo wa chuo kikuu RUCO Iringa

Mgomo wa chuo kikuu RUCO Iringa

Hata ikulu kuna mgomo wa unyumba ni vile tu haitanzazwi.
 
Pumbavu hao buum na siasa vinaendaje kama huna boom n ww hiyo n aki ya mwanafunzi nyie ndusti
 
Tatizo wachangia mada wapo kisiasa hivi haki ya mtu utaletaje siasa kitu kama hujui kaa kimya tu mtu hana hela unataka ale nn au yupo kwao hapo chuoni kila kitu hela utashangaa nini wakigoma
 
Akili hawana bora wapingwe hata kufukuzwa wafukuzwe pumbavu zao kazi kushikwa masikio kila siku piga tu soldier
 
Back
Top Bottom