Mgomo wa chuo kikuu RUCO Iringa

Mgomo wa chuo kikuu RUCO Iringa

Polisi wametapakaa chuo kikuu cha Ruaha, wanawapiga mabomu ya machozi wanachuo ambao wamejaaa viunga vya chuo wanadai fedha za kujikimu(boom) hii serikali kandamizi cjui 2taitoa lini!

mkopo siyo lazima unaweza kuomba ukakosa au ukapewa.
 
hao wanafunzi hawana madai ya msingi wanasukumwa na wanasiasa
njaa kila mtu anayo mbona hata kijijini wana njaa wanavumilia------------

Msemaji mkuu
Makao makuu
Sio lumumba

Huyu msemaji mkuu anajipu sio bure
 
Eh hivi kumbe vyuo vingi havijapata boom jana kwenye habari niliona ni udsm na st joseph.Leo tena RUCO poleni sana..
 
Ndugu zanguni leo nimefatilia kwa karibu sana Mgomo wa wanachuo wa chuo kikuu cha RUCO Iringa,kutokana na ule mgomo nimegundua yafuatayo
1:Walihusika na kuandaa ule mgomo ni watu wasio wanafunzi kupitia kwa wanafunzi namaanisha msukumo wa kugoma umetokana na wanasiasa ambao wamepenyeza siasa katika chuo kile kwa manufaa yao huku wakiwatumia watoto wa masikini wenzetu ambao naamini uongozi wa chuo lazima uwachukulie hatua za kinidhamu kwa kuhusika na mgomo huo.
2:Mgomo ule si wa wanachuo wote bali ni kakikundi fulani kenye Itikadi za kukosoa pasipo kujua wanakosoa nini,namaanisha hajui wazungumze nini na nani na wakati gani na kwa njia ipi.

USHAURI WANGU
Wanavyuo mnapokuwa vyuoni mfate kilicho wapeleka tunajua wengi mnategemea BOOM ili mjikimu na mahitaji yenu na asilimia kubwa ni masikini wenzangu sasa utakapo fukuzwa chuoni utakuwa mgeni wa nani,kumbuka kosa lako leo linaweza kughalimu maisha yako yote. Photo0688.jpg pichani wanachuo wakiandamana(mwanzo wa maandamano RUCO)
 
hao wanafunzi hawana madai ya msingi wanasukumwa na wanasiasa
njaa kila mtu anayo mbona hata kijijini wana njaa wanavumilia------------

Msemaji mkuu
Makao makuu
Sio lumumba

Mkuu hujawahi kusoma elimu ya juu, kama uliwahi kwenda university ( life in campus) huwezi kusema hayo bila boom life in campus ni Ngumu sana.
 
Mjinga wewe, waambie serikali wawape fedha ya kujikimu , acha ujinga .......Hivi ukiwa CCM lazima uwe na mtindio wa akili?
 
Naona unatafuta kick jf lakini hoja yako haina mashiko hata chembe! Una umri gani kwanza mkuu? Wewe ni ke au me. Nadhani uko kwenye hatua ya adolescence, sio bure.
 
Ungekuwa na akili ungetoa kwanza taarifa wanagomea nini...
 
Akili ya mjinga huwaza ujinga na kuandika vyama vya upinzani vinahusika vipi ni migomo ya wanafunzi wao ni bodi ya mikopo au serikali ?
 
Hata wewe ukienda kuliwa mume wako atasema upinzani wanahusika.
 
Msimlaumu sana mtoa maada, swali la msingi kwake ni je ashawahi soma chuo? Baada ya hapo ndo tunaweza kupata pa kuanzia.

Asante!
 
Huu ni wenda wazimu badala ya kuambiaserikali iwape pesa ya chakula unaleta ujinga jf.njaa haina msitarabu.
 
Ww mpuuzi kudai haki yako kuna mkoni wa vyama vya upinzani
Naona umelishwa matango pori
 
kama wanachogomea kina msingi basi vyama vilivyohusika ni haki yao maana wanadai iliyo haki yao
 
Kwamba "Migomo" Na siyo mgomo, vyuo vikuu na si chuo kikuu cha Rucco, je wewe ni mpuuzi? Kubali au kanusha ukitoa na sababu
 
mjitahid kucoment vitu mnavyovijua na siyo kukurupuka kama wengi mnavyofanya.Lait kama mngejua hali walizonazo wanachuo kwasasa sidhani kama mngeandika hvyo
 
kama umejua tatizo ni mkopo, je, mawazo ya kuingizwa siasa yanakujaje? je, mwanasiasa ni nani? na nini maana ya siasa? mi najua maana ya siasa ila maswali haya ni kazi kwako jitume.
 
Back
Top Bottom