WAMURUBHERE
JF-Expert Member
- Apr 21, 2010
- 337
- 25
pole sana inatakiwa gari liwe linalala na mafuta kabisa nyumbani,km ingetokea dharura usiku ingekuwaje sasa.
basi labda wanabagua watu wa kuwauzia mafuta kwani mkienda vituoni mnaenda na magwanda? Mbona mnagubu sana nyie watu? Tuma mtu camel oil keko au oil com ya nyerere rd na kawawa kama hajakununulia mafuta!
Sijasema hakuna vilivyogoma ila nimesema vipo ambavyo vipo wazi !
Da nimepata mafuta big Bon sinza. Tia full tank kudadadeki. Foleni ka kuna earthquake!
Kidumu chama cha UDP! Cheyo hoyee!
Yah, nilijua tu watawatunishia misuri, nilishangaa sana walipoamua hawa uwura sijui kabila gani watajiju, wanatoa uamuzi wa kushusha mafuta halafu wanaamua ku negotiate tena na wauza mafuata, nkajiuliza kwanini hawakuongea nao kwanza, ngoja tusubiri kikao kimalizike cha leo na sitashangaa wakiwagomea!
Imenitokea na mimi, nilienda mitaa ya Chan'gombe leo asubuhi, nikiwa njiani narudi home Kinondoni, nikaona niongeze mafuta basi kila kituo nikawa naambiwa mafuta yameisha. Nikabaki nashangaa.... Ilaa kwa bahati hakukuwa na foleni.
Najiuliza kesho nitatokaje kwenda job! Inabidi hivi vituo tuvitie moto tuone kama kweli havina mafuta!