SANING'O LOSHILU
Senior Member
- May 19, 2012
- 144
- 11
safi sasa warudi wakatibu familia zao si walishindwa kuwatibu watanzania wote? acha wafutiwe tena wasirudishwe kabisa maana thinking capacity zao zimekuwa ndogo madaktari wenyewe wanaogoma ndio hao wanaotuletea aibu kila siku za kufanya upasuaji kichwani badala ya miguuni vice versa is true