jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,556 25,336 Jun 15, 2017 #1 Naarifiwa kuwa vijana wamegoma!!! Sababu sijadokezwa. Mwenye habari mjazo ajazie hapa.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,136 Jun 15, 2017 #3 mkuu muulize aliyekupa taarifa
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,556 25,336 Jun 15, 2017 Thread starter #6 Daudi Mchambuzi said: mkuu muulize aliyekupa taarifa Click to expand... Hapatikani tena hewani!! Labda charge imemuishia.
Daudi Mchambuzi said: mkuu muulize aliyekupa taarifa Click to expand... Hapatikani tena hewani!! Labda charge imemuishia.
Clark boots JF-Expert Member Jun 5, 2017 6,698 6,095 Jun 15, 2017 #8 Google utapata habar kamili mkuu
K kiatu kipya JF-Expert Member Dec 4, 2016 3,269 1,977 Jun 15, 2017 #9 jogi said: Hapatikani tena hewani!! Labda charge imemuishia. Click to expand... Hahaaaaaa wame Mroma mkatoliki
jogi said: Hapatikani tena hewani!! Labda charge imemuishia. Click to expand... Hahaaaaaa wame Mroma mkatoliki
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,556 25,336 Jun 15, 2017 Thread starter #10 Shombe la Kisomali said: Google utapata habar kamili mkuu Click to expand... Ok!
mhuri25 JF-Expert Member Sep 3, 2016 2,753 3,685 Jun 15, 2017 #11 Daah ni hatua chache tu kufikia kambi ya EFUEFUYU-Ukonga....
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,556 25,336 Jun 15, 2017 Thread starter #12 mhuri25 said: Daah ni hatua chache tu kufikia kambi ya EFUEFUYU-Ukonga.... Click to expand... Inaelekea hata madenti hawana smart phones au jf kwao ni msamiati.
mhuri25 said: Daah ni hatua chache tu kufikia kambi ya EFUEFUYU-Ukonga.... Click to expand... Inaelekea hata madenti hawana smart phones au jf kwao ni msamiati.