gm man
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,179
- 1,453
mkuuu bado upo JF????? unakumnuka kuwa umewahi kuchangia kitu kama hiki????? how do u feel???????Mbunge wangu uyu maana 2010 nilimpigia kura na ananiongozo, kiukweli uongozi wa jamaa hata hapa jimboni kwake kwa sasa yupo fair, jamaa amekuwa na utu wa kupitiliza,
Kiukweli watu wake anawajali sana kama anavyojali barabara za maeneo yenu zitengenezwe
Anapenda maendeleo ya kila mfanyakazi wa halmashauri yake, kwa sasa ameshauri kila mfanyakazi kwa kutumia mshahara wake ahakikishe anajenga nyumba ya kisasa na kununua gari kwa kutumia mikopo ya nmb bank maana aliongea na manager wa nmb kila mfanyakazi anayekiz vigezo hasinyimwe fulusa ya kukopa,
Chato ameigeuza kama masaki katika utawala wake n.b kama mbunge wako kashindwa basi husilaum magufuri
Kwasasa umeme unapelekwa kila kijiji n.b hapa n ushawishi wa kila mbunge
Haingilii utendaji wa halmashauri kama wabunge wengine mamlaka yote yapo kwa DED
Mpaka kata za wapinzani kajenga barabara na anapeleka umeme, feza za jimbo anazigawa equally kwa madiwani wote awe ccm au chadema
Ameamua kufufua chama cha ushirika cha kusindika pamba kilichokufa kabla hajawa mbunge
Barabara za chato mjini zote anaweka mabaki ya lami inayobakia kwa wakandarasi may b anawaomba wamsaidie kuileta katika jimbo lake, nyumbani n nyumbani
Ni mbunge ambae kajenga kwao na mara nyingi yupo kwao kwa mapunziko tofauti na wabunge wengine wanaoishi ukimbizini a.k.a dsm
Hata kama yeye aliuza nyumba za serikali kumbuka yeye hakuwa mtu wa mwisho kuamua, alikuwepo waziri mkuu na rais wenye maamzi juu yake. Na alikuwa anatekeleza ilani ya chama. Kwaiyo hapo ilaumiwe ccm nzima na baraza la mawaziri na siyo magufuri pekee,
Hata kama ana mapungufu, ya magufuru n ya kibinadamu maana yeye c malaika, pia ukilinganisha yeye na wengine wa ccm, yeye n afadhari mara 10000.
Kutoka moyoni, pia nadekrea interest magufuri ni mbunge wangu na amefanya wonders katka jimbo lake, na kufikia january asilimia 60 ya watu wa chato watakuwa wanakunywa maji safi na salama, namuunga mkono magufuri for presidential candidate 2015
NB kutokuwa na maendeleo jimboni kwako n uzembe na umbumbu wa mbunge wako
Mungu ibariki Tanganyika Mungu mbariki rais mtarajiwa Mh Magufuri mbunge wetu wa ukweli.