Mgombea wa TLP kata ya Elerai ahamia CHADEMA

Mgombea wa TLP kata ya Elerai ahamia CHADEMA

Mkuu habari njema hizi ila nawasihi mlinde sana kura,mandevu bado yupo Rchuga?
Mbona kwa Dogo Arumeru alikuwepo akaangukia pua vilevile hata wapeleke serikali yote na hazina ihamie Arusha wataondoka kwa aibu.
 
Wagojw wanapona kwa kasi kweli, naamini mpaka jmosi jioni kama mwigulu na nape wataendelea kuwepo nao wakuja CDM. Wamuulize kw nini kibajaji hajatak kurudi?
 
Tunaomba Kamanda lema aisaidie sana CDM kuweza kuwin mioyo ya watanzania wengi kama ilivyo kule Arusha, Kanda ya Ziwa, Nyanda za juu Kusini, Kilimanjaro minus Wilaya ya Same. Watanzania kama tunataka kukomboka tuige mifano ya mikoa ambayo kisiasa wameshaamka. Wanataka tena kuona mabadiliko kwa kuwa miaka karibia 50 maisha yanazidi kudidimia kwa watanzania wengi na kuneemesha wachache wakati rasilimali ni zetu sote. Watanzania amkaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
habari yako ipo nusu sana, tupe jana,sababu na vinginevyo.....
but thanks for great news
 
Hii ndio Arusha.

Nangojra siku ya Kura tuwaangushe tena CCM
 
Mkubwa wangu Crashwise tunashukuru kwa newz hii ambayo kwangu ni habari njema full shwangwe na ingali niko mbali ila hakika ninaifurahia maisha ndani ya mtandao mkubwa kama huu wa Jf yenye member makini kwa habari nzuri!

"MUNGU WABARIKI MEMBER WOTE WA JAMIIFORUMS MUDA WOTE"
 
Last edited by a moderator:
Tunaomba Kamanda lema aisaidie sana CDM kuweza kuwin mioyo ya watanzania wengi kama ilivyo kule Arusha, Kanda ya Ziwa, Nyanda za juu Kusini, Kilimanjaro minus Wilaya ya Same. Watanzania kama tunataka kukomboka tuige mifano ya mikoa ambayo kisiasa wameshaamka. Wanataka tena kuona mabadiliko kwa kuwa miaka karibia 50 maisha yanazidi kudidimia kwa watanzania wengi na kuneemesha wachache wakati rasilimali ni zetu sote. Watanzania amkaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Mkuu kama huna taarifa kanda ya ziwa kuna kijana anaitwa Alphonce Mawazo anawakimbiza vibaya mno Majangili...
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...CHADEMA bana, rahaaaaaaaaaaaa!!!
 
Mkubwa wangu Crashwise tunashukuru kwa newz hii ambayo kwangu ni habari njema full shwangwe na ingali niko mbali ila hakika ninaifurahia maisha ndani ya mtandao mkubwa kama huu wa Jf yenye member makini kwa habari nzuri!

"MUNGU WABARIKI MEMBER WOTE WA JAMIIFORUMS MUDA WOTE"
Pamoja sana mkuu...
 
Mkuu kama huna taarifa kanda ya ziwa kuna kijana anaitwa Alphonce Mawazo anawakimbiza vibaya mno Majangili...

Mkuu Crashwise, kanda ya Ziwa sina Shida nazo, pamoja na hizo nilizotaja katika post yangu ya awali. Shida yangu kubwa ni kwa mikoa mingine hasa Kusini, Kati, Magharibi na michache ya Mashariki na Pwani. Pia Nyanda za juu Kusini kunahitaji pia kazi kubwa. CDM ikifanikiwa mikoa hiyo hasa kusini basi mambo yatakuwa mema sana 2015. Na jukumu hili lianze mapema kwa kufanya tathmini ya M4C then rekebisheni changamoto kama zipo ili kuboresha zaidi kwa mikoa hiyo. Mingine rudini mara kwa mara. Aluta continua kwa mapambano ya kweli.
 
habari yako ipo nusu sana, tupe jana,sababu na vinginevyo.....
but thanks for great news
Tatizo unapenda maneno mengi, mimi nilileta taarifa lakini naona unataka niongeze sijui maeno gani au taarifa yangu ni nusu kwasababu jana siku ripoti au sija kusoma....
 
Back
Top Bottom