Mgombea wa TLP kata ya Elerai ahamia CHADEMA

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Amehamia pamoja na wanachama wa chama cha TLP na wanaccm 23 hii leo na ikumbukwe mkutano wa juzi uliofanyika uwanja wa shuma mabalozi 5 wa nyumba kumi kumi na tawimoja kuhamwa na wote kuhamia chadema..
.. DSC05462.JPG
DSC05464.JPG
DSC05478.JPG
Mgombea wa udiwani kata ya Elerai kupitia TLP na baadhi ya watu wengine walio rudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CHADEMA hii leo....
 
Mkuu habari njema hizi ila nawasihi mlinde sana kura,mandevu bado yupo Rchuga?
 
Peoplesssssssssssssssssssssssssss! Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!

Hii ni historia na pigo kwa vyama vingine hasa CCM. Wajue CDM haipo midomoni mwa watu tu bali hata mioni.

Hongera sana kwa makamanda wa A-Town. Kazi mnayofanya nikubwa sana.
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa CCM na mkewe CUF hapa mkoani Arusha.
Savimbi(Mwigulu) na wale mataahira wake wamechoka mbaya.

Chezea CHADEMA wewe!!!
 
Nimeipenda hiyo,jambazi mwigulu Nchemba umeipata hiyooooo! CCM oyeeeeee,mtasema oyeeee huku mnaisha hii ni kansa inawamaliza.CHADEMA ni taasisi ilyokamilika Peopleeeeeeeess!! Aluta continua Mpaka wazimie kwa pressure hawa magamba.
 
Back
Top Bottom