Mgombea wa TLP kata ya Elerai ahamia CHADEMA

Yawezekana Lema ni mwamba wa Kaskazini

Mkuu CDM ni mwamba wa maeneo mengi sana Tanzania na uchaguzi wa mwaka 2010 ulidhihirisha hilo!!!!! Kama si kwa teknolojia tungekuwa na historia nyingine Tanzania!!!!!!! 2015 CDM inatakiwa ijipange sana, ikiwezekana iwe na kituo chake cha kuhesabia kura angalao kwa kila mkoa halafu finally waunganishe kwa mikoa yote. It means kuna kuwa na kituo kwa kata, wilaya, mkoa hadi Taifa. Andikeni project proposal na pelekeni kwa wadau for funding maana itahitaji vifaa vya electronics hasa portable computers na training ya wataalam. Vijana wengi dedicated wapo wamemaliza vyuo hawana kazi wala mategemeo ya maisha kwa hiyo watasaidia kufanya kazi nzuri.
 
CDM ni mwamba wa maeneo mengi sana Tanzania na uchaguzi wa mwaka 2010 ulidhihirisha hilo!!!!! Kama si kwa teknolojia tungekuwa na historia nyingine Tanzania!!!!!!! 2015 CDM inatakiwa ijipange sana, ikiwezekana iwe na kituo chake cha kuhesabia kura angalao kwa kila mkoa halafu finally waunganishe kwa mikoa yote. It means kuna kuwa na kituo kwa kata, wilaya, mkoa hadi Taifa. Andikeni project proposal na pelekeni kwa wadau for funding maana itahitaji vifaa vya electronics hasa portable computers na training ya wataalam. Vijana wengi dedicated wapo wamemaliza vyuo hawana kazi wala mategemeo ya maisha kwa hiyo watasaidia kufanya kazi nzuri.
 
Mkuu Crashwise, kanda ya Ziwa sina Shida nazo, pamoja na hizo nilizotaja katika post yangu ya awali. Shida yangu kubwa ni kwa mikoa mingine hasa Kusini, Kati, Magharibi na michache ya Mashariki na Pwani. Pia Nyanda za juu Kusini kunahitaji pia kazi kubwa. CDM ikifanikiwa mikoa hiyo hasa kusini basi mambo yatakuwa mema sana 2015. Na jukumu hili lianze mapema kwa kufanya tathmini ya M4C then rekebisheni changamoto kama zipo ili kuboresha zaidi kwa mikoa hiyo. Mingine rudini mara kwa mara. Aluta continua kwa mapambano ya kweli.
Mkuu nimeusoma, nadhani tiba yake ni sera ya kanda lakini ukumbuke ilipopita M4C huko Kusini unaonaje mwamko? vipi Morogoro?..ni kweli chadema tusibweteke tuongeze kasi lakini kwangu mimi nimebahatika kuzunguka kiasi nchi hii na kufatilia kwenye mitandano nchii hii inaenda kuongozwa na chadema mwaka 2015.. huo ndiyo ukweli, CCM kete yao kubwa ilikuwa swala la video yao ya Lwakatare ndiyo aana kila kiongozi alisema chadema inakufa ndani sijui ya mwaka, walijua nini kinafata lakini baada ya issue hiyo kupanguliwa sijui wana kete gani tena lakini naamini wataendelea kushindwa kama walivyo shindwa kwenye njia zao chafu walizo wahi kuzitumia kama ya udini, ukabila chadema chama cha wachaga baadae kikawa cha kazikazini, waaja na chama cha magaidi....
 
Hizi ndizo habari pendwa hapa JF,hautatukanwa.
Lakini habari hii ingeandikwa kuwa mgombea say wa TLP kahamia Chama Cha Magamba,watu wangeponda,na wachache tu kama Bunge,Chama,Ritz na wenzao wangethubutu kupongeza.
Bora mie,nashabikia mgombea huru na siyo chama.
 
Siasa za chadema ni vituko kwelikweli!
Vipi tenda ulishapewa safari hii utapewa tenda ya kuleta madawa bongo maana ndiyo kazi iliyobaki sasa hivi ya hao magamba wenzako...je bado unania ya kugombea Iringa? je umeshapona yale magonjwa yako maana hata kuyataja du noma....
 
Hizi ndizo habari pendwa hapa JF,hautatukanwa.
Lakini habari hii ingeandikwa kuwa mgombea say wa TLP kahamia Chama Cha Magamba,watu wangeponda,na wachache tu kama Bunge,Chama,Ritz na wenzao wangethubutu kupongeza.
Bora mie,nashabikia mgombea huru na siyo chama.
KKwa hiyo tukusadie, unaweza kuvunja biscuit..
 
Mkuu nimeusoma, nadhani tiba yake ni sera ya kanda lakini ukumbuke ilipopita M4C huko Kusini unaonaje mwamko? vipi Morogoro?..ni kweli chadema tusibweteke tuongeze kasi lakini kwangu mimi nimebahatika kuzunguka kiasi nchi hii na kufatilia kwenye mitandano nchii hii inaenda kuongozwa na chadema mwaka 2015.. huo ndiyo ukweli, CCM kete yao kubwa ilikuwa swala la video yao ya Lwakatare ndiyo aana kila kiongozi alisema chadema inakufa ndani sijui ya mwaka, walijua nini kinafata lakini baada ya issue hiyo kupanguliwa sijui wana kete gani tena lakini naamini wataendelea kushindwa kama walivyo shindwa kwenye njia zao chafu walizo wahi kuzitumia kama ya udini, ukabila chadema chama cha wachaga baadae kikawa cha kazikazini, waaja na chama cha magaidi....
Mkuu nimekupata, uzi uwe ule ule bila kukata tamaa. Iwe ni project ya kudumu uhamasishaji kwa nguvu zote with vivid evidences. Hakika kutumia suala la udini na ukabila ambali Watanzania hatukuwa navyo kisa nii kupata kuiangusha CDM ni hatari sana. Matokeo yake dini imefumuka na hawawezi kuziba presha ya pipe ya dini. Watanzania tumepoteza ndugu zetu katika maandamano na machafuko ambayo yamezaliwa katika udini walioutaja SSM wakati wa kampeni zao. Wakati watu wanajiandaa kupeleka evidence bungeni basi zengwe la kuwekwa rumande likaingia eti umesababisha fujo kwa wanafunzi waliokuwa wanadai haki yao ya kimsingi ya usalama baada ya mwenzo kuawa. Hakika wananchi hatuna hamasa kabisa na mambo yanavyokwenda. Cha msingi mkuu strategies ziwe za uhakika na nina hakika 2015 kutakuwa na mambo mengine kabisa.
 
Ewe mtanzania unayeishabikia CCM una uhakika na uamuzi wako-? Karibu wote walioko CHADEMA walikuwa huko. Kuna wengi wameondoka huko, unangoja nini? Nchi jirani MALAWI, ZAMBIA, DRC, BURUNDI, RWANDA UGANDA NA KENYA walishabadili vyama. Hamia CHADEMA.
 
Ewe mtanzania unayeishabikia CCM una uhakika na uamuzi wako-? Karibu wote walioko CHADEMA walikuwa CCM, kuna wengi wameondoka huko, unangoja nini? Nchi jirani MALAWI, ZAMBIA, DRC, BURUNDI, RWANDA UGANDA NA KENYA walishabadili vyama. Hamia CHADEMA.
 
Diwani huyu nimepata kuongea naye asubuhi ya leo uso kwa uso na nikapata kumwuliza ni nini haswa kimemsibu na akaniambia hakika sera na umakini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndiyo chama pekee kinachoweza kuleta mabadiliko katika Nchi yetu na ameapa hakuna chama kingine kinachoweza kuwatikisa hawa mafisadi zaidi ya CDM pekee!
Aliendelea kulonga na akilaani sana hali iliyoko hapa Mkoani.
Ameapa ya kwamba ataitumikia chama siku zote na huyo ndiyo Boysafi Peter!

Amehamia pamoja na wanachama wa chama cha TLP na wanaccm 23 hii leo na ikumbukwe mkutano wa juzi uliofanyika uwanja wa shuma mabalozi 5 wa nyumba kumi kumi na tawimoja kuhamwa na wote kuhamia chadema..
..View attachment 97169
View attachment 97171
View attachment 97173
Mgombea wa udiwani kata ya Elerai kupitia TLP na baadhi ya watu wengine walio rudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CHADEMA hii leo....
 
Back
Top Bottom