Mgombea wa TLP kata ya Elerai ahamia CHADEMA

Mgombea wa TLP kata ya Elerai ahamia CHADEMA

Diwani huyu nimepata kuongea naye asubuhi ya leo uso kwa uso na nikapata kumwuliza ni nini haswa kimemsibu na akaniambia hakika sera na umakini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndiyo chama pekee kinachoweza kuleta mabadiliko katika Nchi yetu na ameapa hakuna chama kingine kinachoweza kuwatikisa hawa mafisadi zaidi ya CDM pekee!
Aliendelea kulonga na akilaani sana hali iliyoko hapa Mkoani.
Ameapa ya kwamba ataitumikia chama siku zote na huyo ndiyo Boysafi Peter!

pamoja sana mkuu na hasa jina jana sikuweza kulishika jina kutoka kelele
 
Jumapili tujipange kuvuna tulichopanda na kupalilia. Makamanda ulinzi mtindo mmoja katika kila kituo! Wanachama na wananchi wengine kuleni CCM kura CDM.
 
Nasisitiza kulinda kura siku ya jumapili.......kama mlivyofanya Arumeru mita100....msifanye vurugu ila muwe makini.........''TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU''' INSHAALAH!
 
Jumapili tujipange kuvuna tulichopanda na kupalilia. Makamanda ulinzi mtindo mmoja katika kila kituo! Wanachama na wananchi wengine kuleni CCM kura CDM.
Kwa Arusha usiwe na wasiwasi kamanda, tunakaba mpaka penalty
 
Back
Top Bottom