GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,038
Mpira wa afrika ni fitna na majungu na inaonekana umeanza kushabikia mpira wa afrika recently, huo ustaarabu unaotaka kutuaminisha uko ulaya na sio afrika point sio kuwatetea Yanga hapana Ila ndo mpira wa afrika ulivyoYanga ni kikundi fulani ambacho kiko disorganised kuanzia kwenye management uongozini mpaka timu uwanjani, kuwaita watani ni sawa kabisa, ila Yanga hawajawa na uwezo wakuitwa washindani wa Simba SC.
Wadhamini ndio waliowala vichwaWameishamla kichwa yeye na Ali Mayai
Siku zote Simba ni wachumba zetu tu! Naungana na wewe, hakuna mchezaji wa kumuogopa pale! Karibia nusu ya hao wachezaji wenyewe, ni wazee!Yanga haiwezi kuiogooa simba. Kwa wachezaji wepi Wa Simba Wa kuogopwa!?
Sent using Jamii Forums mobile app
ukitaka watu wasichangie au kucomment nyuzi zako usiwe unazileta humu.Ukome na uache Kunipangia cha Kuandika hapa JamiiForums sawa? Kwanza ulishakiri hapa kuwa hunipendi na ukinihusisha na Yanga SC ( Kiushabiki ) sasa kwanini 24/7 huwa unanisoma na hata Kuchangia ' threads ' zangu? Ndiyo maana huwa nawadharau na Kuwaita ( Kuwaiteni ) Wapumbavu.
Cc: rodrick alexander
Simba anahitaji kumfunga Yanga zaidi ya mechi kumi ndio alingane na idadi ya mechi Yanga alizomkalisha. Hata mechi mbili za mwisho bado Simba kwa Yanga anapumulia mashine. Hata Yanga queens inatosha kuwanyamazisha.Yanga ni kikundi fulani ambacho kiko disorganised kuanzia kwenye management uongozini mpaka timu uwanjani, kuwaita watani ni sawa kabisa, ila Yanga hawajawa na uwezo wakuitwa washindani wa Simba SC.
Sikuelewi kusema kikosi cha Yanga ni dhaifu, Simba hii ikiwa full ilipigana kufa na kupona kupata draw kwa Yanga, mechi iliyofuata Simba wakapoteza, sasa sielewi kipimo kipi Yanga ni dhaifu kwa Simba hii.Nafikiri umekosea kumhusisha ugombea wake wa TFF na hoja alizotoa, tulitakiwa kujadili hoja zake kama zina ukweli au la.
Ni kweli yanga inaendeshwa kihunihuni kwa sababu mifano ipo hai.
Kwanza msemaji wao alisema tarehe 3/07/2021 hamna mechi kwa sababu wao hawaitambui lakinbi kaimu katibu mkuu wa yanga akaja kumruka na kusema ile kauli aliitoa kama shabiki lakini TFF ikiwachukulia hatua wanalia kuwa wameonewa.
Pia nilitegemea yanga wangemchukulia hatua Bumbuli kwa kushindwa kutofautisha kauli zake kama msemaji wa Yanga au Shabiki wa yanga.
Juzi tumeona wazee wa yanga waliitisha mkutano na kusema kuwa hawaitambui mechi ya tarehe 3/07/2021 lakini mpaka sasa hatujasikia tamko lolote kutoka uongozi wa yanga.
Ukifatilia kauli zao inaonyesha ni kweli yanga wanaogopa kucheza na simba wakitambua kikosi chao ni dhaifu na hata siku ile walilala mbele sababu walijua watapigwa goli nyingi.
Hakuna asiyejua waziri wa michezo ni yanga lialia pia ndiye aliyewataarifu TFF wasogeze mechi mbele je kama waziri wa michezo angekuwa shabiki wa Simba unafikiri nini kingetokea, si ajabu wangehamasishana wafanye maandamano hadi ikulu ili waziri atolewe.
Oscar Oscar yupo sahihi yanga inandeshwa kihuni.
Haya tuseme yanga ina kikosi kizuri na Bora kuliko simba ..Sikuelewi kusema kikosi cha Yanga ni dhaifu, Simba hii ikiwa full ilipigana kufa na kupona kupata draw kwa Yanga, mechi iliyofuata Simba wakapoteza, sasa sielewi kipimo kipi Yanga ni dhaifu kwa Simba hii.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
You're an authentic ' Moron ' here on JF.ukitaka watu wasichangie au kucomment nyuzi zako usiwe unazileta humu.
Naweza kufukua nyuzi zako ulizokuwa unashabikia utopolo kwa kifupi wewe ni bendera fata upepo.
tatizo lako ni mwezi mchanga, hujielewi.You're an authentic ' Moron ' here on JF.