Nakuteua nakulipa mshahara na gari nisikie umemtangaza mpinzani. Tuyatarajie haya Uchaguzi 2025?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,035
Uchaguzi wa 2020 na Uchaguzi wa 2025 hauna TOFAUTI

KATIBA bado ni ile ile

TUME ya UCHAGUZI bado ni ile ile

MWENYEKITI wa TUME bado ni Mteule wa Mgombea Urais

WAKURUGENZI wa Wilaya ambao ni WASIMAMIZI wa Uchaguzi bado ni Wateule wa Mgombea URAIS

WANANCHI tusitaraji UCHAGUZI utakuwa TOFAUTI na wa 2020 Kwani kila kitu kipo vilevile.

HOFU ya 2020 Itakuwepo kwa Viongozi wa Dini na Asasi mbalimbali na VYAMA vya UPINZANI.

Kumbukeni kauli hii

"NAKUTEUA NAKULIPA MSHAHARA NA GARI NISIKIE UMEMTANGAZA MPINZANI"
 
tarajia ushindi wa kishindo kwa CCM bila mbambamba πŸ’

tarajia sababu zile zile, malalamiko yale yale ya miaka yote ya upinzani kugalagazwa na kuchakazwa sana kwenye debe πŸ’
 
Tanzania hakuna uchaguzi, Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Wajinga tu ndio watajitokeza kuendelea kushiriki hizi chaguzi za kishenzi kwenye mazingira haya haya ya mwenyekiti wa ccm kuamua nani atangazwe mshindi.
 
relax bas gubu ya nini πŸ’

wewe waite waTz majina yote yale mabaya uwezavyo, wanakuskiza na kukuelewa vizuri sana πŸ’

wana hamu sana ya kukupa dawa yako kwenye debe πŸ’

mbona watakufurahisha. na hakuna kitu utafanya zaid ya kubwekabweka na hakuna mahali unaenda πŸ’

Watanzania wapi hao , hao waliolipuuza box la kura? Subiri uone jinsi kutakavyokuwa na wapiga kura wachache ndio utajua ni kwa kiwango gani watu wamekichoka chama Cha majizi.
 
uchache au wingi wa tafsiri yako ni useless πŸ’

elections is process,
muhimu ni winerz takes all kwa mujibu wa katiba na sheria, full stop. πŸ’

porojo, gubu, mihemko, stori na dua la kuku baki navyo mwenyewe πŸ’

tunaunda serikali tunadhibiti watu wa fujo kama wew kazi na kuwatumikia wanainchi inaendelea πŸ’
 
tarajia ushindi wa kishindo kwa CCM bila mbambamba πŸ’

tarajia sababu zile zile, malalamiko yale yale ya miaka yote ya upinzani kugalagazwa na kuchakazwa sana kwenye debe πŸ’
Kila siku siyo Jumapili
 
Uchaguzi wa 2020 na Uchaguzi wa 2025 hauna TOFAUTI

KATIBA bado ni ile ile

TUME ya UCHAGUZI bado ni ile ile

MWENYEKITI wa TUME bado ni Mteule wa Mgombea Urais

WAKURUGENZI wa Wilaya ambao ni WASIMAMIZI wa Uchaguzi bado ni Wateule wa Mgombea URAIS

WANANCHI tusitaraji UCHAGUZI utakuwa TOFAUTI na wa 2020 Kwani kila kitu kipo vilevile.

HOFU ya 2020 Itakuwepo kwa Viongozi wa Dini na Asasi mbalimbali na VYAMA vya UPINZANI.

Kumbukeni kauli hii

"NAKUTEUA NAKULIPA MSHAHARA NA GARI NISIKIE UMEMTANGAZA MPINZANI"
Sera hiyo bado ipo na itaendelea kuwepo.
 
uchache au wingi wa tafsiri yako ni useless

elections is process,
muhimu ni winerz takes all kwa mujibu wa katiba na sheria, full stop.

porojo, gubiu, mihemko, stori na dua la kuku baki navyo mwenyewe

tunaunda serikali tunadhibiti watu wa fujo kama wew kazi na kuwatumikia wanainchi inaendelea
Du itakuwa imeishia darasa la 3 na umo JF kwa bahati mbaya sana Rudi FB hao "WANAINCHI" au WANANCHI?
 
zingatia ushindi wa kishindo wa CCM bila mbambamba πŸ’

hiyo ingine ni porojo, na si muhimu sanaaa ndrugo mwalimu, japo nakushukuru sana πŸ’
 
tarajia ushindi wa kishindo kwa CCM bila mbambamba πŸ’

tarajia sababu zile zile, malalamiko yale yale ya miaka yote ya upinzani kugalagazwa na kuchakazwa sana kwenye debe πŸ’
Tarajia Wakurugenzi wa ccm kuwa wasimamizi wa Uchaguzi..........Hopeless
 
iwe wakurungenzi ama wananchi watumishi waandamizi πŸ’

suala la ushindi wa kishindo wa CCM bila mbambamba lipo pale pale πŸ’

zingatia sana hilo πŸ’
 
Hakuna namna wanaweza kukaa madarakani bila sera hiyo
Watoti wetu na wajukuu lazima wawe na uhakika wa ajira kama kwa wananchi wengine, sasa tukiondoka nani atahakikisha ajira zao. Mfumo wetu wa chama ni 1Γ—1=2 yaani Mwinyi mmoja lazima awe na backup, mfano iiKikwete mmoja lazima awe na backup, Pinda mmoja naye awe na backup, Nape mmoja oooops sorry sisitemu imetekwa, tuendelee ili kuhakikisha kazi zinaendelea.
 
Back
Top Bottom