Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

Nani kakwambia kutoboa masikio ni kosa imeandikwa wapi?
Mbona unajiuliza swali na kujijibu, ni vizuri tu na wewe ukaenda kutoga masikio na wakati huo huo unataka kuwa public officer ndio utajua mbivu na mbichi ni zipi
 
Itakuwa vizuri wakikutana bungeni yeye pamoja na Joseph Mbilinyi (Sugu) wabunge waliotoga masikio.
 
Mbona unajiuliza swali na kujijibu, ni vizuri tu na wewe ukaenda kutoga masikio na wakati huo huo unataka kuwa public officer ndio utajua mbivu na mbichi ni zipi

Public office wa nini wakati ukitoboa Sikio hunaweza kuwa mbunge bila tatizo mfano tumeona kwa Joseph Mbilinyi (Sugu).

Nipe kifungu kinachokataza mbunge kutoboa sikio mkuu.
 
Mkuu vipi tena mambo ya kaka yake ya nini tena humu JF nadhani ni vizuri kumjadili mgombea,

Mkuu tukianza kufuatiliana humu familia za viongozi pamoja na zetu hakuna itakayokuwa salama.
riziwani hata unapotaka kumuoa mwanamke unatizama pia na ukoo wake na tabia zao vilevile kwa mwanamke hutazama ukoo wa mwanamme akiridhia kuishi nao ndipo anajiunga nao... wacha tuwatizame wote wanamhusu, mwenye data za kakayake teja azilete tafadhali
 
Public office wa nini wakati ukitoboa Sikio hunaweza kuwa mbunge bila tatizo mfano tumeona kwa Joseph Mbilinyi (Sugu).

Nipe kifungu kinachokataza mbunge kutoboa sikio mkuu.

Mkuu tunaishi kwa maadili ccm kamwe haiwezi kuiga mambo cdm ,issue hapa si kifungu ila ila ni maadili
 
Naona mmekosa hoja mmeingia kwenye masikio . Kwani ubunge unaongozwa na masikio ? Acheni kuongea ujinga kama mnakunywa komoni . Alaah !!!

Sidhani kama huo ni ujinga kama wameru hatoboi masikio maana tukiendeleza haya mambo hata shoga ataomba uongozi wa umma.Kwa utamaduni wa mtanzania hii haikubaliki labda kwa akina camerun majuu!
 
Public office wa nini wakati ukitoboa Sikio hunaweza kuwa mbunge bila tatizo mfano tumeona kwa Joseph Mbilinyi (Sugu).

Nipe kifungu kinachokataza mbunge kutoboa sikio mkuu.
nikiamini wewe ni alhaji,niambie hata shekha mmoja aliyetoga
 
Mkuu tunaishi kwa maadili ccm kamwe haiwezi kuiga mambo cdm ,issue hapa si kifungu ila ila ni maadili

Mkuu kwa hiyo kama wewe ni Chadema hautakiwi kuwa na maadili? Unataka kuniambia Joseph Mbilinyi (Sugu) kutoboa kwake sikio anapata Excuse, sababu Chadema hawana maadili?
 
Public office wa nini wakati ukitoboa Sikio hunaweza kuwa mbunge bila tatizo mfano tumeona kwa Joseph Mbilinyi (Sugu). Nipe kifungu kinachokataza mbunge kutoboa sikio mkuu.
mtu si msanii tukajua labda ni bwembwe za mastaa, kijana huyu kakulia Mombasa, katoga sikio mi napata mashaka kidogo.
 
Wamasai wametoboa masikio ni mila ya kwetu,huko alikotoboa sioi kunalingana na jinsi wamasai wanavyotoboa au yeye katoboa kisasa/kisharoo?? Duu shughuli,wameru kuweni makini asije kuwa mbunge wa masharo
 
Mkuu kwa hiyo kama wewe ni Chadema hautakiwi kuwa na maadili? Unataka kuniambia Joseph Mbilinyi (Sugu) kutoboa kwake sikio anapata Excuse, sababu Chadema hawana maadili?
mbeya kwa wagumu sugu mwenyewe mgumu hakunaga mashoga huko.
 
kama unataka hoja jibu hizo hapo juu sio unafata tu mkumbo .

Hoja gani ya maana uliyoileta wewe ambayo unaona inastahili kujibiwa,umesema sugu katoboa sikio nikakuambia hakuna kitu kama hiko sababu i know the guy well,ukaanza kukimbilia matusi,ni rahisi sana kumjua mtu ambae ni uncivilized ni rahisi sana,sio tatizo lako ni wala ni lack of education ndio tatizo ninalo linalokusumbua!u re useless as the tail of dog which neither cover its rear end nor protect it from the bites of insects!siwezi argue na fool any more!
 
Mkuu kwa hiyo kama wewe ni Chadema hautakiwi kuwa na maadili? Unataka kuniambia Joseph Mbilinyi (Sugu) kutoboa kwake sikio anapata Excuse, sababu Chadema hawana maadili?
hebu nieleze mkuu alitoboa baada ya hapa..Mh Joseph Mbilinyi akizungumza (Michuzijr Blog). - YouTube au hapa pia? Sugu_Interviwe Part_1.flv - YouTube .link ya kwanza inamuonyesha sikio la kushoto, link ya pili inaonekana kwenye sikio la kulia kama ulimkuta kavaa hereni sawa yaweza kuwa alibana na ikampendeza huko,watu aliowaomba awawakilishe au mpinzani wake angeliona hilo sidhani kama angelifumbia macho jambo hilo,
 
mbeya kwa wagumu sugu mwenyewe mgumu hakunaga mashoga huko.

Mkuu, pamoja na maneno yako yote ukweli unabaki kama ulivyo.

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi, katoboa sikio lake la kushoto.
 
Back
Top Bottom