Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

Jamani wameru hawatoboi masikio,wanaotoboa ni wamasa,hizo ni kabila mbili tofauti. na toboaji wa sioi sio hata wa kimasai ni wakisharobaro
 
usiwe livivu tafta picha zake au kama upo arumeru msogelee umcheki kwa sikio
nimetafuta hata video katika nlizozipata sikuona,wewe kama unayo si uimwage hapa,mie nimetupia link ya video aliofanyiwa interview kwenye page ya pili,na wewe lete ya kwako uliomtoboa
 
hivi unauhakika gani mgombea ni shoga ? Kwanini unaongea bila kufikiri ? Ukishtakiwa kuna ubaya ? Au ukipewa ban kuna ubaya ? Tumia akili wacha kutumia oil chafu kichwani.
Mbona nawewe umetumia lugha chafu mkuu nawewe ule ban.
 
Kiukweli, hiyo hoja haina mashiko, ni namna 2 ya kuongeza political landscape yako. What matters is ur ability 2 deliver. During these times, such petty things must be completely disregarded. We have seen pastors and sheikhs with controversial moral values. I'm not supporting siyoi's political side, but it's not fair 2 judge him using such a criteria. Although Kwenye siasa za ushindani hii ni poa sana kumfunika mpinzani wako. Ni maoni yangu tu wadau.

unajitahidi kutetea haki zenu..ila huku tz bado hatujafikia huko..labda vuta subira huwezi jua..
 
Naona mmekosa hoja mmeingia kwenye masikio . Kwani ubunge unaongozwa na masikio ? Acheni kuongea ujinga kama mnakunywa komoni . Alaah !!!
Waweza kuwa sharobaro usione hoja ila kutoga sikio kwa utanzania wetu ni mambo ya kuiga kwa sasa, japo zamani zile ilikuwa jadi, wewe subiri uone kama kuna hoja au la maana hakika itamuathiri huyo mgombea.
 
Kiukweli, hiyo hoja haina mashiko, ni namna 2 ya kuongeza political landscape yako. What matters is ur ability 2 deliver. During these times, such petty things must be completely disregarded. We have seen pastors and sheikhs with controversial moral values. I'm not supporting siyoi's political side, but it's not fair 2 judge him using such a criteria. Although Kwenye siasa za ushindani hii ni poa sana kumfunika mpinzani wako. Ni maoni yangu tu wadau.
sipingani na wewe mkuu lakini hata hao mapasta wanakuwa wanawawakilisha na kuwaongoza watu wa namna hiyo na wenye kufanya mambo hayo,kwa mashekhe napingana kabisa na wewe,huwezi kumpata mwenye kutoga masikio...kwa wameru hakutogwi masikio asa kwa vip useme these are petty things..hili ni geni kwa upande wetu haliwezi kuwa dogo hata lifunikwe vipi
 
Hii familia vipi nasikia hata kaka yake mkubwa kaathirika kwa madawa ya kulevya ya kweli hayo?
Naanza kukubaliana na CC ya CCm kumkataa Sioi inaonekana kuna matatizo zaidi ya haya tunayoyaona.
 
Mnamuongelea mgombea ubunge wa Arumeru Mashariki kuwa katoboa sikio..

Mbona mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) nae katoboa sikio la kushoto.

Nilikuwa namuona Milton Keynes hakiwa kavaa hereni sijuhi huku Tanzania kama bado anavaa.

Sijuhi wazee wa Mbeya walisemaje!
 
Hii familia vipi nasikia hata kaka yake mkubwa kaathirika kwa madawa ya kulevya ya kweli hayo?
Naanza kukubaliana na CC ya CCm kumkataa Sioi inaonekana kuna matatizo zaidi ya haya tunayoyaona.
Malezi ya watoto ni muhimu sana! Ni funzo kwa wazazi na vijana wote ambao wanataka siku za baadaye watoto wao wawe viongozi.
 
Mnamuongelea mgombea ubunge wa Arumeru Mashariki kuwa katoboa sikio..

Mbona mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) nae katoboa sikio la kushoto.

Nilikuwa namuona Milton Keynes hakiwa kavaa hereni sijuhi huku Tanzania kama bado anavaa.

Sijuhi wazee wa Mbeya walisemaje!

Kosa halihalalishi kosa wewe vipi mzee
 
Hii familia vipi nasikia hata kaka yake mkubwa kaathirika kwa madawa ya kulevya ya kweli hayo?
Naanza kukubaliana na CC ya CCm kumkataa Sioi inaonekana kuna matatizo zaidi ya haya tunayoyaona.

Mkuu vipi tena mambo ya kaka yake ya nini tena humu JF nadhani ni vizuri kumjadili mgombea,

Mkuu tukianza kufuatiliana humu familia za viongozi pamoja na zetu hakuna itakayokuwa salama.
 
Back
Top Bottom