Mgombea mwenza kurejea CUF

Mgombea mwenza kurejea CUF

Nadhani Duni akirudi kwao na viongozi wengine nao itabidi warudi kwao pia. Mbatia, Makaidi. Tuachieni tuitengeneze chadema asilia yetu. Sijui kama zama zile zitarudi tena walahi!

Kazi mtakuwa nayo
 
MODS... sijui kwann wamekuwa very lazy these days kiasi hiki...!!!

Huu upuuzi ni wa kufutwa...!!!
 
CCM ishakufa, dead walking...!!! ni swala la muda tu
 
Treni limeshashika kasi atakayeshuka ataumia km Dr. Mihogo
 
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.

Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.
Usanii wa Lowassa unapovuka mipaka na kwenda Zanzibar.
Sasa wenye akili akili mukichwa!!
 
Hapa tulipo fika hata atoke mbowe,mwendo ni ule ule,wamemtoa slaa,lipumba,kwan duni ndo atakuwa na impact???
Hata akitoka lowasa tutaweka jiwe na litashinda kwa kishindo

Hivi huwa mnapata viroba kwanza ndio mna login?
 
Nasikia Mapadlock analazmisha apewe kadi ya CHADEMA,,,kaambiwa amuombe Lowassa amteue baada ya uchaguz...kakacrika sana,kaamua kuiba logo ya M4C
 
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.

Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.

Kachukue posho yko Lumumba
 
sasa wewe unahisi buku 7 ndogo?wewe baki na kazi yako na sisi tuache na kazi yetu hata kama tunalipwa 200 ndo tumeipenda hiyo sisi sio mabishoo wakuchagua kazi...na nakupa mwaliko uje uwanja wa taifa kushuhudia kuapishwa kwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Hon.John P Magufuli Itakuwa octoba usiwe na presha tutaleta malori ya kuwabeba Ni Kawaida Yetu Kuwajibika Kwa Wananchi....!!

Kumbe kweli una hongwa ili uchafue watu.
 
Hivi Lowassa Karudisha Ya Ccm?Mama Regina?Sumaye Je?Masha Je?Guninita?Labda Hatujaelewana Ni Hivi Njoo Uwanja Wa Taifa Octoba Kushuhudia Kuapishwa Kwa Rais Wa Awamu Ya 5 Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Hon.John P Magufuli...Tshirt Tutazitoa Siku Hiyohiyo Kwa Bei Cheee...
Utatujua watanzania kuwa tumeacha kuwa misukule
 
Hivi Lowassa Karudisha Ya Ccm?Mama Regina?Sumaye Je?Masha Je?Guninita?Labda Hatujaelewana Ni Hivi Njoo Uwanja Wa Taifa Octoba Kushuhudia Kuapishwa Kwa Rais Wa Awamu Ya 5 Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Hon.John P Magufuli...Tshirt Tutazitoa Siku Hiyohiyo Kwa Bei Cheee...
Mtakimbia nchi kabla ya hiyo tarehe
 
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.

Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.

Timu Propaganda huku sasa in KUFILISIKA KISIASSA
 
Back
Top Bottom