Mgombea mwenza kurejea CUF

Mgombea mwenza kurejea CUF

Chadema ni janga,kila leo migogoro, wao wanajiona ni bora zaidi ya wengine.Juma haonekani kabisa na kila anapopita anazomewa tu.
 
MGOMBEA MWENZA KUREJEA CUF

Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna Chadema wanavyoendesha umoja huo. Aidha kutokana na hali hiyo,taarifa zinadai kunauwezekano mkubwa mudawowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.

Mwizi wa nembo ya chama kingine simpigii kura yangu.Akienda Ikulu ataiba zaidi
 
Nadhani Duni akirudi kwao na viongozi wengine nao itabidi warudi kwao pia. Mbatia, Makaidi. Tuachieni tuitengeneze chadema asilia yetu. Sijui kama zama zile zitarudi tena walahi!
 
Tatizo upinzani hawako makini, ni kulalamika tu, kweli migogoro kila leo ndo mtaleta mabadiliko.
 
Huyo Juma Duni yawezekana kajitambua, arudi tu kwao Zanzibar, huku bara chadema sio yake inawenyewe.
 
Heheheh jana Alikuwa Geita... hilo la kuhama sahaumi kabisa maana atakuwa kapoteza sana
 
Hiyo ni strategy na sasa inafanya kazi. Usihofu!
nilikua sijajua kama kuiga mambo yya upinzani ni strategy yetu wanaccm, ningeshauri tuwe tunaanzish vyetu hii ni dalili ya kuishiwa siamini chama kikongwe kama chetu tumefikia hapa!
 
Nimeamini chadema ni saccos, mtu kama duni juma si rahisi akamudu maisha ya kuwa ktka saccos
 
Umeshamaliza au bado?...haya nenda kachukue buku saba yako kwa waliokutuma...hakuna namna tena Rais wako ajaye ni Lowassa na hakuna mbadala

Mkuu Sio Raisi Ajaye Tayari Ni Raisi,alishaapishwaga Siku Nyingi Kuwa Raisi Wa Jmt(jamhuri Ya Mafisadi Tanzania) Hata Chadema Walithibitisha Kwa Kumwita "Fisadi Papa"...
 
MGOMBEA MWENZA KUREJEA CUF

Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna Chadema wanavyoendesha umoja huo. Aidha kutokana na hali hiyo,taarifa zinadai kunauwezekano mkubwa mudawowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.

Pole..hiyo ndiyo sifa ya sindano mkuu..dawa ikikuingia lazima utatapatapa
 
Tulitegemea kutokea kwa hayo,CUF na chadema hawawezi kukaa zizi moja, Chadema inamilikiwa na watu wachache.
 
Back
Top Bottom