Molaro
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 818
- 577
Lisemwalo lipo, huyu Juma Duni kweli hasikiki kabisa siku hizi tofauti na Mama Samia.
Sasa utamsikia wapi wakati unatazama na kusikiliza TBCCCM na startvCCM, kwa taarifa yako alikuwepo Geita jana.
Lisemwalo lipo, huyu Juma Duni kweli hasikiki kabisa siku hizi tofauti na Mama Samia.
mtegemee kushindwaaa
Haw jamaa makamnda wako siliace, mbona wanatuchanganya, hapa hakuna mabadiliko.
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.
Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.
Nimesoma Alama Za Nyakati Mkuu Ni Nakubaliana Nawewe,Makufuli... Aapishwe wap..? Kwa ikulu ipi? Makufuli kamuapishe breweries ikulu ya pombe sio ikulu ya JMT.. Ikulu ni takatifu co ya watu aina makufuli ndgu.. Huaomi hata alama za nyakati?
Ndo maana lowasa anasema elim elimu elimu bure na bora kwa wananchi..sasa ww ndo upo kitengo cha propaganda ya chama unaaleta hii taarifa kweli???...
sasa nimeelewa kwann mgombea wenu anatumia nembo ya chadema maana kama ww ndo mshauri wake basi mwaka huu mnakazi ya kuiga kila kitu toka upinzani....
Kujitoa kwenye chama gani
Lumumba.Source Pls.