Mgombea mwenza kurejea CUF

Mgombea mwenza kurejea CUF

Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.

Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.

Upinzani hapa tz hakuna kabisa, waliopo ni maigizo tu na kuwaadaa wachache wasiojitambua.
 
Huko ugambani kwenu wamiliki ni akina nani? Hivi huwezi kutafta kazi yakufanya kweli kuliko hii ya buku 7 ?

sasa wewe unahisi buku 7 ndogo?wewe baki na kazi yako na sisi tuache na kazi yetu hata kama tunalipwa 200 ndo tumeipenda hiyo sisi sio mabishoo wakuchagua kazi...na nakupa mwaliko uje uwanja wa taifa kushuhudia kuapishwa kwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Hon.John P Magufuli Itakuwa octoba usiwe na presha tutaleta malori ya kuwabeba Ni Kawaida Yetu Kuwajibika Kwa Wananchi....!!
 
Yule ni mwanachama wa cuf ila alijiunga na cdm ili kukidhi matakwa ya sheria kwamba mgombea mwenza hawezi kutoka chama tofauti na mgombea na moja ya makybaliano ni pamoja na Cuf kutoa makamu wa rais.

Tunachojua Duni Haji hana mpango wa hicho unachokisema maana uchaguzi ukiisha kwa baht mbaya wasishinde anarudi cuf ila ukweli ni kwamba Watashinda.

Ccm byeeeee.
 
mbona mnafanya propaganda za kitoto sana, hata waliowapa iyo kazi hawaoni kua wanapoteza pesa yao bure kweli? tafuteni propaganda nzito kama kweli mpo makini na kazin yenu
 
Kufanya Mabadiliko si Kazi ndogo.LOWASA mwenyewe anajijua kua kajiweka rehani kwa Marekani na mataifa mengine nyuma ya Ccm..Mda wowote akijionyesha anajua WANAMPOTEZA.
 
Nini future ya duni baada ya kushindwa uchaguzi maana lowassa atastaafu siasa duni je au atakuwa kiongoz cdm ZNZ wazanzibar nawajua huyu Mzee watamtenga kbsa na mambo ya siasa za cuf ajiandae kwa hilo maana atakuwa hana jimbo wala kijiji kwa ufupi tu niseme alikurupuka kwa tamaa
 
Kamwambie Dr Slaa arudishe kadi za CCM na CHADEMA kwanza. Na JK arudishe ya CHADEMA
 
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.

Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.
TISS at work, but they will end nowhere.
 
Kamwambie Dr Slaa arudishe kadi za CCM na CHADEMA kwanza. Na JK arudishe ya CHADEMA

Hivi Lowassa Karudisha Ya Ccm?Mama Regina?Sumaye Je?Masha Je?Guninita?Labda Hatujaelewana Ni Hivi Njoo Uwanja Wa Taifa Octoba Kushuhudia Kuapishwa Kwa Rais Wa Awamu Ya 5 Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Hon.John P Magufuli...Tshirt Tutazitoa Siku Hiyohiyo Kwa Bei Cheee...
 
Makufuli... Aapishwe wap..? Kwa ikulu ipi? Makufuli kamuapishe breweries ikulu ya pombe sio ikulu ya JMT.. Ikulu ni takatifu co ya watu aina makufuli ndgu.. Huaomi hata alama za nyakati?
 
Ccm n ving'ang'anizi kama farao.. Alijigamba kuzuia nguvu ya MUNGU kwa mkono wake.. Akitumia hadi gori la mkono kama nape+ccm.. Aligeuza fimbo kuwa nyoka kama MUSA, na makufuli nae kageuza jina la ccm kuwa kama la chadema.. Eti Makufuli 4Change.. Lakini mwisho farao yaliyo mkuta alijuta.. Leo makufuli anaingia anga za M4C ya UMMA kujifaidisha.. Kilicho mkuta farao na Misri yake.. kimamnyemelea makufuli na ccm ya kikwete..
 
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.

Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.

Ndo maana lowasa anasema elim elimu elimu bure na bora kwa wananchi..sasa ww ndo upo kitengo cha propaganda ya chama unaaleta hii taarifa kweli???...

sasa nimeelewa kwann mgombea wenu anatumia nembo ya chadema maana kama ww ndo mshauri wake basi mwaka huu mnakazi ya kuiga kila kitu toka upinzani....
 
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.

Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.

Duni Haji hajawahi kuwa mwanachama wa chadema hata siku moja!! yeye anajua hivyo,seif anajua hivyo na mbowe anajua hivyo! sasa atajitoaje chadema wakati c mwanachadema! kinachoendelea ni matakwa ya kisheria tu na iwapo ukawa watashinda uchaguzi sheria iliyofanya wafikie makubaliano hayo itarekebishwa mara moja.
 
Huomgogoro hautuhusu sisi wanainch wa kawaida, tutachagua chama makini kisicho na migogoro
 
Hii timu ya kampeni ya Duni ni ya CUF toka Zenj.haichanganyiki na ile nyingine ya m4?
 
Back
Top Bottom