Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,124
Lisemwalo lipo, huyu Juma Duni kweli hasikiki kabisa siku hizi tofauti na Mama Samia.
Huwezi kumsikia kwani fisiem ni kwa mwendo wa fiesta na kugawa noti
Lisemwalo lipo, huyu Juma Duni kweli hasikiki kabisa siku hizi tofauti na Mama Samia.
MGOMBEA MWENZA KUREJEA CUF
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna Chadema wanavyoendesha umoja huo. Aidha kutokana na hali hiyo,taarifa zinadai kunauwezekano mkubwa mudawowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.

I'd za uchaguzi utazijua tu↓MGOMBEA MWENZA KUREJEA CUF
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna Chadema wanavyoendesha umoja huo. Aidha kutokana na hali hiyo,taarifa zinadai kunauwezekano mkubwa mudawowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.
Iwapo J Duni alikopwa kutoka CUF tutegemee nini mkuu?
Lisemwalo lipo, huyu Juma Duni kweli hasikiki kabisa siku hizi tofauti na Mama Samia.
Lisemwalo lipo, huyu Juma Duni kweli hasikiki kabisa siku hizi tofauti na Mama Samia.
Duh! Asifanye hivyo, si atammalizia mzee wa mafuriko kwa stroke!
Juma Duni akirudi CUF atakuwa kajitambua kwelikweli, chadema ni Saccos ndogo, wamiliki wake ni watu wachache aondoke tu, huko alipo siko.
Hawezi kuhama Taifa litapata hasara kwa kuhairisha Uchaguzi
Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo.
Aidha kutokana na hali hiyo, taarifa zinadai kuna uwezekano mkubwa muda wowote kuanzia sasa mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na kurejea CUF.
Juma Duni akirudi CUF atakuwa kajitambua kwelikweli, chadema ni Saccos ndogo, wamiliki wake ni watu wachache aondoke tu, huko alipo siko.
Chadema ni janga,kila leo migogoro, wao wanajiona ni bora zaidi ya wengine.Juma haonekani kabisa na kila anapopita anazomewa tu.