Mfano wako uko vizuri ila haujatake into consideration sababu (interest zake) za rafiki yako kutoa huo msaada.....Je alitoa huo msaada kwa sababu ya kukusaidia wewe rafiki yake tu au anawaonea huruma watoto na mke wako kwamba wanapata shida kutokana na ukata wako wewe.......Kama hana interest yeyote then hicho unachosema kitakuwa hakina sababu ya kutokea....
Lakini assume kama interest yake au msukumo wake ni uchungu alionao juu ya watoto na mke wa rafiki yake wanaopata taabu na lets say na mke wako wewe anajua kabisa huo ndio msukumo wa rafiki yako......sasa kama ugomvi utakuwa umetokea ambapo kwa namna moja au nyingine unahusiana na wewe kufanya maamuzi ambayo kwa namna moja au nyingine bado yanaendelea kuipa taabu familia yako.....kwa mananeo mengine lengo la rafiki yako halitimii....na wewe unatumia ubabe wako wa mamlaka yako katika familia kumkandamiza mama watoto wako, hauoni itakuwa natural kwa baadhi ya watu (na kwa mfano huu mama watoto wako) kuamua kwenda kwa rafiki yako kulalamika ili kuongeza pressure kwa matumaini kwamba atapata haki yake na watoto wake ?
Misaada mingi tunapewa na hawa watu wa Magharibi kwa sababu wanaamini sisi tunaheshimu utawala wa sheria na tunafuata misingi ya kidomkrasia na ndio maana sio nchi zote zinazopewa misaada na hawa watu na viongozi wetu wamekuwa wanatamba kabisa kwamba wao wanakubalika kwa sababu nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya kidemokrasia......Sasa wengine wanapokandamizwa na kunyimwa haki zao za kidemokrasia, huoni kwamba ni natural tu baadhi yao watakimbilia kwa hao wafadhali na kulalamika kwamba hawa viongozi wetu hawafuati misingi ya kidemokrasia ili kuongeza pressure ? Mbona hiyo ni common sense tu ?. Wewe unaweza usifanye hivyo (hata mimi ningekuwa huko nisingeandamana), lakini ninakushangaa kuwashangaa hao waliamua kufanya hivyo......ni haki yao kudai haki yao kwa kuongeza pressure kutoka upande huo..............

Daaah. Hii shida sana.
Labda Mfano Utasaidia:
Tuchukulie mfano kuwa wewe ni rafiki yangu na kila ninapokwama unanisaidia kifedha kujikimu mimi na familia yangu. Itokee mimi na mama watoto wangu tuna mfarakano wa kawaida nyumbani kwetu.
- Hivi unategemea kuwa lazima tuje mlangoni kwako tukufahamishe kuwa tuna ugomvi?
- Kama wazee wetu wakiwa wanaendelea kutusuluhisha, bado unadhani ni busara tupite kwa wahisani wetu wote tukilalamika kuwa tunagombana?
Kitendo hiki ndicho ninachokiona kinatudhalilisha sana sisi waTanzania lakini pia waAfrika wote kwa ujumla wetu. Hatujiamini kama tunaweza kutatua matatizo yetu sisi wenyewe. Kila likitokea tatizo tunakimbilia mataifa ya magharibi.
Kwa mwendo huu tusishangae wanapotudharau ingawaje sisi ni mataajiri wakubwa sana wa rasilmali.
Eee Mwenyezi Mungu tusaidie.