Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Na bado! Zitto vipi mbona hajasusa?
mkuu jamani tusameheni, mmetushika pabaya mpaka juzi tukawatuma usalama wa taifa wachomoe cable ya satellite ya TBC ili watanzania wasishuhudie upuuzi tunaoufanya bungeni kwa kujaribu kupindisha kanuni ya 77 ya bunge.
Mmetushika babaya mpaka tukatuma vijana waende kurusha mawe kwenye mkutano wenu huko singida hadi kijana wetu mmoja akafa.
Mmetushika pabaya mpaka tumeamua kumchinja kiongozi wenu wa chama huko arumeru
Mmetutushika pabaya mpaka tumewakata kwa mapanga wabunge wenu pale ilemela.
Mmetushika pabaya mpaka tumetuma vijana wetu wavamie na mapanga kwenye mkutano wenu pale nduli.
Jamani mkuu mmesababisha tumechanganyikiwa kwa hili vuguvugu lenu la mabadiliko.
Tusameheni jamani. :A S cry: