Mgogoro mkubwa Arusha Chadema waendelea kufukuzana

Mgogoro mkubwa Arusha Chadema waendelea kufukuzana

Mbona ritz unashabikia mambo usiyoyajua? Wewe ni mnafiki usiyeelewa chama kinaendeshwaje! Na kama ni huyo Dominick Mboya kwanza ana makesi ya kutosha na alishasimamishwa na uongozi wa juu wa chama kutojihusisha moja kwa moja na mambo ya Siasa yaani yuko chini ya uangalizi maalum kutokana na tabia zake za kipumbavu kwanza ana kesi za kutishia maisha ya watu ambao wamemfuatilia na kuziripoti kwa viongozi wa juu na kifupi ni kwamba hatakiwi hata balozi wa nyumba kumi kwa CDM. Na kama siyo umakini wa Nanyaro na timu yake kuwaumbua hawa watu mamluki wangeshaimaliza CDM. Arusha na chama kingeshabaki hadithi na tunajua kuwa hili ni kundi dogo lililobaki kutumiwa na madiwani waasi.

NB: Hakuna chama ambacho kinaendeshwa bila viongozi wake kuwa na nidhamu na kuthamini mamlaka na maelekezo ya kamati kuu Kaoge ulale.

Mpaka apo mgogoro upo!
 
Hii ni list ya viongozi wako uliowachagua wewe na wanakuwakilisha wewe na familia yako kama mnaishi Elerai lakini vinginevyo wananchi wa kata hiyo wana viongozi wake ambao ni halali kama ilivyotamkwa na Ephata Nanyaro na watu wanaonunua wanachama na kuwapandikiza ili kupitishwa matakwa yao kama mbatia hawana mshiko ndani ya Chadema Arusha na chama kiko imara kuliko siku zote ulizawahi kukifahamu.

Wewe Chadema-Kata hujui chochote kaa kimya!
 
Ritz,wewe si upo kazini kuichafua CHADEMA?huwezi kushindana na ukweli ukashinda,
Sio tu nilikuwa mwenyekiti hadi sasa mimi ndio Mwenyekiti,na chama hakina mgogoro,period.

Hayo si maneno yanayotakiwa kutoka kwenye kinywa cha kiongozi. Yanaonyesha hasira, msongo, ukiritimba na kutokujiamini. Hoja hujibiwa kwa hoja. Ukiona mtu anaongea kiswahili halafu anamalizia kwa neno period basi jua hapo mahala ama huyo kiongozi ana shida. Kwa waliopitia jeshini wanakumbuka jinsi maafande walivyokuwa wakiwajaza upepo makuruta. Naona Ritz kamjaza upepo Kiongozi na kiongozi kahamaki!
 
Wanabodi.
Baadhi ya viongozi wa Chadema kata ya Elereai, wamepinga kufukuzwa kwao madarakani na kuhishutumu kamati ya utendaji ya wilaya chini ya Mwenyekiti wake, Efatha Nanyaro.

Viongozi wanaopinga kufukuzwa madarakani ndani ya kata hiyo ni pamoja na Mwenyeketi wa Kata ya Elerai, Dominick Mboya na Katibu wake Joseph Warioba.

Wengine Mwenyekiti wa Wazee, Bakari Kasembe, Mwenyekiti wa Vijana, Paul Maganga, na Katibu wake, Sia Temu, Mwenyekiti wa Wanawake, Mariam Suleman pamoja na mweka hazina. Baraka.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake mmoja wa viongozi hao, Dominick Mboya alisema kwa mujibu wa katiba ya Chadema kamati tendaji ya wilaya haina mamlaka ya kubatilisha matokeo ya uchaguzi uliowaingiza madarakani, kilichofanyika ni uhuni na ubabe tu.

Hizo ndio siasa za Chadema Arusha.

pombe za kienyeji zikilala wenzako wanamwaga wewe umeamua usile hasara ukazipiga asubuhiasubuhi?pole hapo mpaka akili ikukae sawa ni kesho,jaribu kuuliza walevi wenzako mwanza jana ilikuwaje?wale wa2 walioletwa na malori mjini wameshafika kwa miguu?
 
shibuda naye atafukuzwa lini sasa?

Shibuda anashughulikiwa technically! inategemeana na upeo wako ni wa level gani katika kuliona hilo. ndio maana wanaoumia na kutofukuzwa kwa Shibuda sio CDM bali ni Magamba, si unaona hata wanaohangaika kupiga kelele dhidi ya Shibuda ni kina nani?
 
Huyo anaye jiita Mboya mkaanga ndizi Elerai chini pale,hana lolote kwenye chama hususan siasa haziwezi ni kelele tupu na kuchochea vurugu,lengo lake sie tuna lijua na matarajio yake ni kugombea udiwani kata ya Elerai na ukweli ni kuwa hata akigombea hakuna wa kumpa,kama huamini ingia elerai uliza utaambiwa ye ni mtu wa aina gani,akipitishwa kugombea udiwani basi atambulia kura ya mke wake na wapembe wake wasio zidi 10,hana lolote kwenye siasa,kinacho nishangaza ashajitangaza kuwa ye ndo diwani mtarajiwa wakat ndo kwanza yuko chini ya ungalizi kwa mwaka mzima,
Anacho jivunia kisa Lema mjomba wake,kwani chama ni cha kina lema,
We mboya kila ulicho jaribu kukifanya kina kushinda sasa unakimbilia siasa ni nadhani ni wakati wewe kujipanga upya hujui undako.
\

Aaaaah! Kumbe ndio maana Lema katulia sana sasa kumbe chama kinamnyanyapaa "mpwa"/"mjomba" wake
 
Nanyaro,
usiishie hapo weka maelezo huyo Mboya ni nani na nini kilifanyika mpaka Kamati Tendaji ikafikia maamuzi yaliyofikiwa.

Dr. Slaa usiangaike kumbembeleza Nanyaro kujibu hoja humu. Tumeshajua kuwa Mboya ni Mpwa wa Godbless Lema.
 
Dr. Slaa usiangaike kumbembeleza Nanyaro kujibu hoja humu. Tumeshajua kuwa Mboya ni Mpwa wa Godbless Lema.

Hiyo si ajabu kwa CDM. Viongozi ni sisi kwa sisi...mjomba, shemeji, mkwe, mpwa, shangazi, mke, nyumba ndogo, mtalaka, mchumba etc.
 
pombe za kienyeji zikilala wenzako wanamwaga wewe umeamua usile hasara ukazipiga asubuhiasubuhi?pole hapo mpaka akili ikukae sawa ni kesho,jaribu kuuliza walevi wenzako mwanza jana ilikuwaje?wale wa2 walioletwa na malori mjini wameshafika kwa miguu?

Naona umeamua kuleta Futuhi
kwenye mambo ya msingi..

Tunataka kujua mgogoro huo umefikia wapi?
 
\

Aaaaah! Kumbe ndio maana Lema katulia sana sasa kumbe chama kinamnyanyapaa "mpwa"/"mjomba" wake

Mkuu, mpaka saizi nadhani umeishapata picha kamili ya mgogoro!
 
Wanabodi.
Baadhi ya viongozi wa Chadema kata ya Elereai, wamepinga kufukuzwa kwao madarakani na kuhishutumu kamati ya utendaji ya wilaya chini ya Mwenyekiti wake, Efatha Nanyaro.

Viongozi wanaopinga kufukuzwa madarakani ndani ya kata hiyo ni pamoja na Mwenyeketi wa Kata ya Elerai, Dominick Mboya na Katibu wake Joseph Warioba.

Wengine Mwenyekiti wa Wazee, Bakari Kasembe, Mwenyekiti wa Vijana, Paul Maganga, na Katibu wake, Sia Temu, Mwenyekiti wa Wanawake, Mariam Suleman pamoja na mweka hazina. Baraka.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake mmoja wa viongozi hao, Dominick Mboya alisema kwa mujibu wa katiba ya Chadema kamati tendaji ya wilaya haina mamlaka ya kubatilisha matokeo ya uchaguzi uliowaingiza madarakani, kilichofanyika ni uhuni na ubabe tu.

Hizo ndio siasa za Chadema Arusha.
Je kama tutaamua kuripoti kila mgogoro wa vyama,ngazi yoyote tangia mashinani. Itakuwaje kwa ccm ambayo ina matawi kila kona ya nchi ukiandamana na ufisadi tangia ngazi ya shina kwa balozi wa nyumba kumi?
 
Safi sana kwa kumjibu huyo gamba ritz,nadhani hatotokea tena na uzushi wake kwa ahadi ya kulipwa buku 2 kuichafua chadema JF

Wewe ni Chadema-Kata hujui chochote upo kama kinda la bata wewe ni kufuata tu.

Hii habari wewe unaona uzushi?
 
siasa hizi !!!!hahaha............nasikia muhimbili madaktari bingwa wamegoma kuanzia mchana huu kwa saa za huko tanzania...........kikwete yuko wapi?
 
Mkuu, mpaka saizi nadhani umeishapata picha kamili ya mgogoro!


Ndio Mkuu maake majuzi nilionana na Lema pale SELENA HOTEL jamaa hakuwa na nyuso ya amani. Maake aliandamana na jamaa wawili ambo nilihisi ni ndugu zake kwani walikuwa wakifanana.

Du hii itakuwa vita mbaya.
 
Je kama tutaamua kuripoti kila mgogoro wa vyama,ngazi yoyote tangia mashinani. Itakuwaje kwa ccm ambayo ina matawi kila kona ya nchi ukiandamana na ufisadi tangia ngazi ya shina kwa balozi wa nyumba kumi?

Unaniuliza tena mie sina cha kukusaidia mkuu.
 
hivi kwanini mnamjibu huyu mpuuzi na kilaza mkubwa hapa jf

one of the hate preacher in jf

ujinga ndio unasumbua watanzania wengi, nenda shule hamtaki, utabakia kupewa pilau tuu ili ulete pumba kwenye mitandao

this is bullshit
 
Ritz,wewe si upo kazini kuichafua CHADEMA?huwezi kushindana na ukweli ukashinda,
Sio tu nilikuwa mwenyekiti hadi sasa mimi ndio Mwenyekiti,na chama hakina mgogoro,period.

baelezee nanyaro,sisi hatulei waovu kama magamba,mkiweza futia mbali uanachama wao
 
hivi kwanini mnamjibu huyu mpuuzi na kilaza mkubwa hapa jf

one of the hate preacher in jf

ujinga ndio unasumbua watanzania wengi, nenda shule hamtaki, utabakia kupewa pilau tuu ili ulete pumba kwenye mitandao

this is bullshit

Muhueshimu Mjinga uepushe balaa..
 
Back
Top Bottom