Mgogoro mkubwa Arusha Chadema waendelea kufukuzana

kwa nini cdm inataka kujiimarisha katika fukuza fukuza ya wanachama na viongozi wake?????????????
chama kinajengwa kwa kuvumiliana ankukosoana sasa huu umwamba unatoka wapi??????????????
 
CHADEMA Arusha,hakuna mgogoro,chama kipo IMARA,kuliko kipindi kingine chochote,

Tunashukuru umewahi kukanusha hapa (nadhani ulikuwa aware na suala hili kufika hapa janvini). Lakini maelezo yako hayatosherezi na kwa ujumla hayaridhishi. Mleta thread Ritz amejitahidi kuelezea kwa kina na wahusika (taarifa yake inashawishi), lakini statement yako "short" & "not clear" na jinsi ulivyowahi humu kuipinga inaleta mashaka.

Nanyaro ebu tueleze ukweli juu ya hicho kikao na yaliyojiri ata kama mmeweza kuyamaliza, maake kikomo cha mgogoro ni kumalizika kwake lakini haiondoi ama kufuta tukio (mgogoro).
 
Jamii ielewe kuwa CHADEMA haina mgogoro,unataka jibu gani zaidi ya hilo?sijibu unavyotaka wewe najibu ukweli,na ukweli ni kuwa hakuna mgogoro.

Mimi ni mkazi wa hapa Elereai na nimeshuhudia kufukuzwa kwa viongozi hawa, penye ukweli muwe mnakubali bana!
 
Jamii ielewe kuwa CHADEMA haina mgogoro,unataka jibu gani zaidi ya hilo?sijibu unavyotaka wewe najibu ukweli,na ukweli ni kuwa hakuna mgogoro.

Kamanda achana nao hao bana wanataka kuhamishia migogoro yao ya CCM huku kwetu.Asee si tuko poa ile mbayaaa.
 
Efatha Nanyaro ni mnafiki sana viongozi wa aina hii ni hatari sana..

Kwenye magazeti ya leo amekiri mgogoro huo upo na kasema wote ambao hawakuridhika na uamuzi huo wakate rufaa ndani ya siku 42..

Saizi hizi humu JF anakanusha cha kushangaza zaidi Chadema-Kata wanamfia eti kajibu vizuri.

Ritz hatuna utaratibu wa kukata rufaa ndani ya 42days,na sijaongea na gazeti lolote,huo ni upotoshwahi unaofanywa kwa lengo la wanaofanya.Nasisitiza CHADEMA hakuna mgogoro
 
Efatha Nanyaro ni mnafiki sana viongozi wa aina hii ni hatari sana..

Kwenye magazeti ya leo amekiri mgogoro huo upo na kasema wote ambao hawakuridhika na uamuzi huo wakate rufaa ndani ya siku 42..

Saizi hizi humu JF anakanusha cha kushangaza zaidi Chadema-Kata wanamfia eti kajibu vizuri.

kwa hadhi yako hayo hayo ni majibu ya kihuni.toa ufafanuzi wa kilichotokea ili jamii iseme.wewe unaanza kujitetea.
Day-Pay workers @Deiwaka.com!
 
Mimi ni mkazi wa hapa Elereai na nimeshuhudia kufukuzwa kwa viongozi hawa, penye ukweli muwe mnakubali bana!

Kwani kuondolewa kwa watu kutokana na kutofuata kanuni na katiba ya chama ni mgogoro?
 
kwa nini cdm inataka kujiimarisha katika fukuza fukuza ya wanachama na viongozi wake?????????????
chama kinajengwa kwa kuvumiliana ankukosoana sasa huu umwamba unatoka wapi??????????????

Hakuna umwamba,Chama kinajengwa kwa kufuata kanuni,Sheria,taratibu na Msingi mama wa katiba na sio kubebana kama kwenu CCM.Poleni.
 
Ritz,wewe si upo kazini kuichafua CHADEMA?huwezi kushindana na ukweli ukashinda,
Sio tu nilikuwa mwenyekiti hadi sasa mimi ndio Mwenyekiti,na chama hakina mgogoro,period.

Nanyaro,
Hakuna sehemu nimeichafua Chadema mie nimeeleza mgogoro huo wala sio uzushi ni kweli mmewatimua wenzenu.

Hivi mtu ukielezea mgogoro wa Cuf dhidi Amadi Rashidi ni kuichafua Cuf? au kuelezea mgogoro wa NCCR Mageuzi dhadi ya Kafulila ni kuichafua NCCR Mageuzi?
 
Kichenchede!!!
5.jpg
Posho zinapasua vifungo!!
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.

msipoziba ufa ...

Lisemwalo lipo na kama halipo ...
 
hivi kufukuzana na kulea waovu lipi bora? mnalea chenge,lowasa,jairo na wengineo kibao kisa mnaogopana. kwa upinzani hakuna kuleana ni timua timua tu ukienda kinyume na chama hawalei pimbi

Mzee hawa ni majabali ni tofauti na vidagaa kama madiwani wa Arusha na hao watu-kata. Ugumu uliopo kwa hawa ni exclusive clause ya "handle them at your own risk" kama ilivyokuwa ngumu kwa Shibuda (ujira wa mwia), Zitto Kabwe (kung'ang'ania Uenyekiti hadi wazee kuingilia kati) na pengine itakavyokuwa ngumu kwa Slaa ama Mbowe pindi itapotokea fursa ya wao "kujivua gamba" kutokana na mis conduct.

Kifupi wanaofukuzwa chadema ni vidagaa na chama hakijafikwa vilivyo na fukuto la majabali (Mihimili ya Chama) hapo ndipo kigugumizi cha kufanya maamuzi magumu kitaibuka.
 
Efatha Nanyaro ni mnafiki sana viongozi wa aina hii ni hatari sana..

Kwenye magazeti ya leo amekiri mgogoro huo upo na kasema wote ambao hawakuridhika na uamuzi huo wakate rufaa ndani ya siku 42..

Saizi hizi humu JF anakanusha cha kushangaza zaidi Chadema-Kata wanamfia eti kajibu vizuri.

Wewe ni mganga njaa tu
 
Tunashukuru umewahi kukanusha hapa (nadhani ulikuwa aware na suala hili kufika hapa janvini). Lakini maelezo yako hayatosherezi na kwa ujumla hayaridhishi. Mleta thread Ritz amejitahidi kuelezea kwa kina na wahusika (taarifa yake inashawishi), lakini statement yako "short" & "not clear" na jinsi ulivyowahi humu kuipinga inaleta mashaka.

Nanyaro ebu tueleze ukweli juu ya hicho kikao na yaliyojiri ata kama mmeweza kuyamaliza, maake kikomo cha mgogoro ni kumalizika kwake lakini haiondoi ama kufuta tukio (mgogoro).
Cdm wana utaratibu wa kutoa taarifa si sawa na magamba ridhika na majibu ya kamanda Nanyaro wa brigedia ya Arusha ukitaka maelezo ya kina mwone msemaji wa chama kwanza si sifa ya makamanda kusema hovyo bali wapo kiutendaji zaidi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom