Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,892
- 32,308
Wanabodi.
Baadhi ya viongozi wa Chadema kata ya Elereai, wamepinga kufukuzwa kwao madarakani na kuhishutumu kamati ya utendaji ya wilaya chini ya Mwenyekiti wake, Efatha Nanyaro.
Viongozi wanaopinga kufukuzwa madarakani ndani ya kata hiyo ni pamoja na Mwenyeketi wa Kata ya Elerai, Dominick Mboya na Katibu wake Joseph Warioba.
Wengine Mwenyekiti wa Wazee, Bakari Kasembe, Mwenyekiti wa Vijana, Paul Maganga, na Katibu wake, Sia Temu, Mwenyekiti wa Wanawake, Mariam Suleman pamoja na mweka hazina. Baraka.
Akizungumza kwa niaba ya wenzake mmoja wa viongozi hao, Dominick Mboya alisema kwa mujibu wa katiba ya Chadema kamati tendaji ya wilaya haina mamlaka ya kubatilisha matokeo ya uchaguzi uliowaingiza madarakani, kilichofanyika ni uhuni na ubabe tu.
Hizo ndio siasa za Chadema Arusha.