Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,430
Jibu hoja ya mgogoro wa Arusha JF sio sehemu ya porojo.
mapimbi wengine bana.....
Jibu hoja ya mgogoro wa Arusha JF sio sehemu ya porojo.
Jana au juzi makamu wa raisi dr Bilali alisema migogoro ndani ya chama cha majambazi ni ukomavu....sasa inakuwaje kwa wengine iwetatizo kama kwenye familia yako huwa mna gomba itakuwa kwenye chama migogoro kama migogoro kwenye taasisi kama CHADEMA siyo kitu cha ajabu tatizo liko kwenye kulitatua. chadema huwa ina kata shingo wakati CCM inamvua gamba nani bora mbaya zaidi hata hilo gamba halivuki....Bado sana hii ndo just start?
chama kisicho makini , chama cha watu fulani na koo za na familia zao migogoro haiishi hasa kama katoea mtu mwingie toka koo nyingine.
soon people will realize cdm is nothing but kigenge cha wahuni.
Na wewe siku hizi unahoja....hebu tuambie hoja ni ipiJibu hoja ya mgogoro wa Arusha JF sio sehemu ya porojo.
Mleta thread ni mpotoshaji mkubwa,anasema mgogoro mkubwa CHADEMA Arusha,na majibu yangu yapo sahihi kuwa CHADEMA hakuna mgogoro,
Swala la mimi kuwahi au kutokuwahi halina mashiko,yaani kuwa sasa naweza kutabiri nini kitakacholetwa hapa Jukwaani?
Narudia tena CHADEMA hakuna mgogoro
sasa na wewe si ujibu hilo swali ulio ulizwa hapo juuMleta thread ni mpotoshaji mkubwa,anasema mgogoro mkubwa CHADEMA Arusha,na majibu yangu yapo sahihi kuwa CHADEMA hakuna mgogoro,
Swala la mimi kuwahi au kutokuwahi halina mashiko,yaani kuwa sasa naweza kutabiri nini kitakacholetwa hapa Jukwaani?
Narudia tena CHADEMA hakuna mgogoro
Wanajua lakini wanajifanya wapumbavu, si ndio zao hawa
hatuhitaji msemaji juha kama Nape....
sasa na wewe si ujibu hilo swali ulio ulizwa hapo juu
Umeshajibiwa chadema Arusha hakuna mgogoro wewe unataka akujibu nini zaidi....sasa na wewe si ujibu hilo swali ulio ulizwa hapo juu
Mleta thread ni mpotoshaji mkubwa,anasema mgogoro mkubwa CHADEMA Arusha,na majibu yangu yapo sahihi kuwa CHADEMA hakuna mgogoro,
Swala la mimi kuwahi au kutokuwahi halina mashiko,yaani kuwa sasa naweza kutabiri nini kitakacholetwa hapa Jukwaani?
Narudia tena CHADEMA hakuna mgogoro
Nimetoka kifungoni vinginevyo ningesha yaporomosha....Nimegundua kamgogoro kapo maake Crashwise angekuwa amechonga sana zaidi ya Nanyaro.
Kwa ujumla hatushabikii migogoro na kama mmeimaliza mnapaswa kupewa tuzo ya Centre for Conflict Management (CCM).
Na wewe siku hizi unahoja....hebu tuambie hoja ni ipi
Sema wewe unataka akujibu nini na kama jibu unalo au unataka kujibiwa utakavyo wewe sasa jijibu mwenyewe...Wewe Nanyaro unaonekana una kiburi sana. Sijui unakipata wapi.....Unatoa majibu yenye kupingana na ukweli tena kwa lugha ya kuudhi, unadhani unaweza kuficha maradhi??
ukajibiwa hiviChadema Arusha kata ya Elerei imewafukuza viongozi wake.
1. Mwenyekiti Dominick Mboya
2. Katibu Joseph Warioba
3. Mwenyekiti wa Wazee, Bakari Kasembe.
4. Mwenyekiti wa Vijana, Paul Maganga.
5. Katibu wake, Sia Tema.
7. Mwenyekiti wa Wanawake Mariam Suleman.
8. Mweka Hazima Baraka
huyo mboya alisha vuliwa unachama siku nyingi baada ya tukio hili hapa chiniDominick Mboya alikuwa mwanachama wa CHADEMA,na alifutwa uanachama baada ya jaribio lake la kufunga ofisi ya chama mwaka jana(tafuta hiyo thread hapa utaona na video yake)
Hivyo si mwanachama tena,
Mwenyekiti wa chama Kata ya Elerai ni Joachim Minja,na katibu ni Mariam
Joseph Warioba ni mwanachama hana cheo chochote
Dominick Mboya alikuwa mwanachama wa CHADEMA,na alifutwa uanachama baada ya jaribio lake la kufunga ofisi ya chama mwaka jana(tafuta hiyo thread hapa utaona na video yake)
Hivyo si mwanachama tena,
Mwenyekiti wa chama Kata ya Elerai ni Joachim Minja,na katibu ni Mariam
Joseph Warioba ni mwanachama hana cheo chochote
Sema wewe unataka akujibu nini na kama jibu unalo au unataka kujibiwa utakavyo wewe sasa jijibu mwenyewe...
Mkuu Nanyaro Ephata, achana na huyu kiumbe Ritz....huyu anaumwa ugonjwa wa Chadema'kama uamini hebu fuatiliakRitz,wewe si upo kazini kuichafua CHADEMA?huwezi kushindana na ukweli ukashinda,
Sio tu nilikuwa mwenyekiti hadi sasa mimi ndio Mwenyekiti,na chama hakina mgogoro,period.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
msipoziba ufa ...
Lisemwalo lipo na kama halipo ...